Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

Mkuu hongera kwa post hii. Huyu mjinga kama ni wa kuelewa nadhani hili jibu umemaliza kila swali.
 
Si kuna na padri sijui ni askofu nae pia anawaambia wakristo wampigie Lissu.
Ponda atawaconvince Muslims na yule askofu wakristo.
 
Alishasema hata nyerere aliteyewa na wakili muingereza wkt wa harakati za kupigania Uhuru hakuna cha ajabu chini ya juwa wewe gamba

Safari kila propaganda ina majibu yake hamna pa kutokea kenge nyie
 
Sawa Ponda kawaambia waislamu mfanye hivyo na Lisu atashinda sehemu yenye waislamu wengi kwa mujibu wako!

Likini umeshajiuliza ni vipi Wakristo nao maamuzi yao baada ya taarifa za Ponda?
Niwemugiz, na wengine waliotesaka na utawala wa magu watashawishi kura za wakristo, full stop
 
Hao hawawezi kumuangusha Lissu ila watakaomuangusha Lissu ni tume ya uchaguzi wanaoamurishwa na Magufuli, huo ndio ukweli mchungu.
 
Kwako ndege ndio inaongeza kura, washamba wa ndege utawafahamu tu
 
Tundu Lisu atakosa kura za waumini wa kanisa la MOravian Tanzania sababu ya kuzunguka na kiongozi muasi askofu Mwamakula .Atakosa kura zao Mbeya,Rukwa ,Tabora ,Songwe na Dar es salaam ambako lina waumini wengi mno hatambuliwi na kanisa zima
Mchumia tumbo tu huyo
 
Lisu alichokifanya ni kutafuta viongozi waasi wa dini zao na kuwafanya viongozi wake wa kiroho

kamchukua PONDA kiongozi muasi BAKWATA kamfanya shehe wake

kamvchukua Mwamakula muasi wa kanisa la Moravian KUWA KIONGOZI WAKE

Katoliki hakuambulia hata mmoja hata sister tu aliyeasi

Kwa walutheri aliambulia mmoja tu askofu muasi Bagonza AMBAYE WAKATI MAKANISA YOTE ya Kilutheri kipindi cha KORONA yalikuwa wazi yeye ya kwake yote aliyafunga kupingana na maaskofu wenzie walio wengi na LIsu akaonyesha yuko pamoja naye Chadema wakawa wanamtumia Bagonza kumponda hadi askofu wake mkuu SHOO

Lisu alipofika kilimanjaro Askofu mkuu wa kilutheri hakwenda kwenye mkutano wake sababu yeye sio level moja na waasi wa akina PONDA na MUASI Mwamakula hivyo hakukanyaga lakini Magufuli alipoenda ASKOFU Shoo alienda kumuombea na wakawa wote misafara akiwa pale MOSHI

Kanisa katoliki baada ya kumuona Lisu kuwa ana roho ya uasi halikuruhusu padri au sister yeyote kuambatana naye au kumuombea sala kwenye mikutano yake lakini lilitoa kibali kwa Magufuli

Kiujumla baada ya kuwajua vizuri Chadema na LIsu wao dini kubwa zote hazimuungi mkono Lisu kuanzia wakatoliki,walutheri,waislamu wa BAKWATA ,makanisa makubwa kama ya ASSEMBLIES OF GOD,EAGT ,Moravian Makanisa ya akina Kakobe,Gwajima,Mzee wa upako nk

Lisu kabaki na vikundi vidogo vya kidini vya waasi wa dini kubwa kama vya PONDA Na Mwamakula nk
 
Nacheka sana kila siku wanavyosema "The Hague" kuna watu watawapeleka.

Lissu na Chadema wanafikiri "The Hague" ni kama kisutu.

Ndugu Lissu..Nakukumbusha tu, una kesi zako za kujibu zilizokuwa pending pale kisutu. Round hii huchomoki

Au tayari umejiandaa kukimbia hiyo December.
 
Tz haijafikia kiwango cha huo udini. Mkome enyi wazushi
 
Mchumia tumbo tu huyo
Yuko na maaskofu wenzie wote wa nchi nzima.Mwamakula ulishamuona akitembea na maaskofu wake wa nchi nzima au ukamwona akifika mkoa fulani anapokelewa na Askofu wa mkoa ule? yeye anajiita askofu mkuu lakini akifika mikoa anafika kama kibaka hana hata muumini wa kumpokea
 
Hoja nyingine zina shangaza sana!! Sasa ukatoliki na ndege - wapi na wapi?
 
Wewe Jamaa aliekusomesha alipoteza pesa bure. Mimi nilijua watu wanasoma kwa manuufaaa ya nchi yao! kumbe wewe ulisoma kwa manufaa ya Tumbo lako. Ni aibu sana hii!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Unazani wa TZ wangapi wana mjua uyo robert ? Au wanao tumia twitter
Kwa kufuatilia followers tu , January makamba ana 3 mil followers twitter magufuli 1 mil followers lissu 150k, so its likely kusema wapo millions of users
 
Tz haijafikia kiwango cha huo udini. Mkome enyi wazushi
Subiri tuwanyooshe sio mbali nikeshokutwa. Tunahangaika kuwachangia familia za mashekhe walioko ndani sadaka misikitini. Halafu mmewafunga bila hatia mnashindwa hata kuwapeleka mahakamani hukumu itolewe, kama wanafungwa wafungwe jumla tujue. Waislamu wenye akili tunajua nini kiongozi wetu Shekhe Ponda Issa Ponda anachosema.
 
Hoja nyingine zina shangaza sana!! Sasa ukatoliki na ndege - wapi na wapi?
hohja mbili toofauti zinajitegemea ningeweza unga hata uislamu wa ponda hapo utakavyopoteza kura za Lisu ponda hajawahi kuwa na uhusiano mzuri na serikali wala na waislamu wewenzie

Cheki uhusiano mzuri wa serikali na BAKWATA ULICHOZALISHA

 
Nakazia tu
 
Maaskofu wa nchi nzima uliwaona wapi ukiacha mbali wale waliokuwa wanashinda ikulu kula ubwabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…