Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kuna kila daliliMagu atatusaidia kuondokan na hili dubwasha linaloitwa sisiem.
Mungu alijua hilo na ndio maana aliwapa hawa wenzetu uwezo ili watudhibiti.Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Akili za kitumwaMungu alijua hilo na ndio maana aliwapa hawa wenzetu uwezo ili watudhibi.
Kuna utumwa zaidi ya kutenga Bajeti inayotegemea Wahisani miaka 59 baada ya uhuru?Kilaza mkubwa wewe!Akili za kitumwa
Nani mkuu? Kifo kinanyongea kwa wengi wetu! Maisha magumu.Miaka miwili mbele kuna mtu flani atakufa
Kwa hiyo wewe hutakufa?Miaka miwili mbele kuna mtu flani atakufa
Washenzi kabisa hao,eti wanafanya kongamano kuwa Uchaguzi umemalizika kwa amani! Kwa amani wakati watu wamekufa na wengine kufanywa vilema,shwain kabisa!Viongozi wa dini wa Tanzania wanasubiri sadaka zetu kesho kutwa.
Mbona unatutisha mkuu?Miaka miwili mbele kuna mtu flani atakufa
Kwanini mnawapa?Viongozi wa dini wa Tanzania wanasubiri sadaka zetu kesho kutwa.