Kuwa na file ICC inatosha kukuweka sawa maana ile ni reference chochote kikitokea wata refer back.ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Tena anaweza kufa kabla ya hapo.Kwa hiyo wewe hutakufa?
Huyu mambo ya kuendesha nchi wala siasa za mataifa makubwa kwanini wanatoa budgetary support, usidhani ni kww mahaba yao kwetu au huruma ya matatizo yetu... kaombe hifadhi kwa wazungu labda utajifunza mbinu zaoKuna utumwa zaidi ya kutenga Bajeti inayotegemea wahisani miaka 59 baada ya uhuru?Kilaza mkubwa wewe!
Utakuwa MSIBA WA FURAHAMiaka miwili mbele kuna mtu flani atakufa
Wanapenda kujifariji bila kuwa na strategy zao wenyewe za short term na long-term wamebaki kuokoteza habari za taharukiAnadai yupo mbioni kwenda kufungua kesi ICC na kuna watu wanashangilia.
Even elementary school children didn’t believe in Eric Cartman ‘ginger cow’ story.
Kama viongozi wenyewe wa upinzani wana akili hizi bora CCM iendelee kutawala tu.
Wanatia huruma, it’s a tale of a trickster being tricked.Wanapenda kujifariji bila kuwa na strategy zao wenyewe za short term na long-term wamebaki kuokoteza habari za taharuki
Kwani Humlazimisha Mtu?Viongozi wa dini wa Tanzania wanasubiri sadaka zetu kesho kutwa.
Excorsise = exorcise.Amsterdam, you are doing an amazing job in your mission to excorsise these devils!
We Jamaa utakua mchawi, mambo gani haya ya kuombeana kufa,Miaka miwili mbele kuna mtu flani atakufa
Thank you, let me go back and fix the typo!...excorsise=exorcise.
From CHADEMA ya kutafuta vijana chuo kuwajenga kuwa Viongozi wa badae to CHADEMA wanategemea kushinda kwajili ya Mwanasheria mwenye ofisi Washington na London... Kwaiyo sasa hivi kamati kuu ya CHADEMA itakua inaongea nini Bob Amsterdam anafanya kuhusu mipango yao. Shame!Wanatia huruma, it’s a tale of a trickster being tricked.
Amsterdam anawalaghai kama wao walivyozoea kuwaongopea wafuasi wao.
CHADEMA ya vijana wa Chuo imeshakubalika kwa wananchi ila wenye uwezo wa kuamrisha wabeba silaha wafyatue risasi ndo wamebaki sasa kuinua Bunduki zao kuwalenga wale ambao Umma ni dhahiri umeshawakubali na upo tayari kuwapa ridhaa!.From chadema ya kutafuta vijana chuo kuwajenga kuwa viongozi wa badae to Chadema wanategemea kushinda kwajili ya Mwanasheria mwenye ofisi Washington na London... Kwaiyo sahivi kamati kuu ya chadema itakua inaongea nini Bob Amsterdam anafanya kuhusu mipango yao. Shame!
Sasa impostor ni nani JPM au Ni yeye.Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Ila naye asiongee sana, we are tired with all those sweet words without action!Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Mbona mnajamba jamba mapema hivyo? Wacha kesi ifike huko ICC utajua nani anayeshitakiwa! Mauaji aliyoyafanya huko Pemba yanatosha kuitwa mauaji ya kimbari! Huwezi uka-target Wapemba tu tukakuacha salama! Jiandaeni siku ukisikia Fatou Bensouda yuko hapa ujue jiwe amenasa!Anayempeleka ICC ni yupi na kwa sheria gani?
Halafu bado anawaaminisha watu kuwa anaijua sheria angali hata katiba ya Tanzania haijui.
Amuulize kibaraka wake wa Ubelgiji kuwa huko ICC anaenda kumshitaki Nani? Kama ni Mtanzania wa kigoma uvinza sawa Ila Kama ni jiwe hata akitoka madarakani Robert hawezi kumpeleka hata kituo Cha polisi Cha huko aliko.