Wewe ni poyoyo kweli,wewe unachofikiria hizo fedha wanagawa bure tu,kila mtu hawez kujitosheleza hapa dunianiKuna utumwa zaidi ya kutenga Bajeti inayotegemea wahisani miaka 59 baada ya uhuru?Kilaza mkubwa wewe!
Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
What about the Moors( black people) who enslaved Europeans (wazungu)?Mungu alijua hilo na ndio maana aliwapa hawa wenzetu uwezo ili watudhibi.
Acha Mara moja ujinga wa kuwaabudu Wazungu wako,ebu jaribu kua na fikraa za ki uutu!!Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Mtatapatapa sana Tanzania itaendelea kuwa imara.Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Fikra za ki utu ni kupigwa risasi 16 na mzungu kutoa tiba Ubelgiji.Acha Mara moja ujinga wa kuwaabudu Wazungu wako,ebu jaribu kua na fikraa za ki uutu!!
Kasome taratibu za kufungua kesi ICC sio Kisutu, mbona mnajiabisha na huyo shoga wenu.Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Unajiongopea na huyo kibarakana wenu Mbeligiji hana lolote la kuitisha Tz, Tanzania ni Zaidi ya Magufuli! Yeye apambane na Magufuli wake!!Bwana Yule, kwa matendo yake, atatusaidia kuondokan na hili dubwasha linaloitwa sisiem.
Hiki ni kikundi cha watu hatari sana kinachoweza fanyia uhalifu wowote dhidi ya binadamu mradi kulinda madaraka waliyonayo. Ni lazima kidhibitiwe.
Mtumwa wewe!Mungu wabariki Wazungu
Bunge la Ulaya litasikia madhambi yenu nyinyi wacha Mungu wanafikiUnajiongopea na huyo kibarakana wenu Mbeligiji hana lolote la kuitisha Tz, Tanzania ni Zaidi ya Magufuli! Yeye apambane na Magufuli wake!!
Taarifa na mipango yake yote ipo Serekalini,anajisumbua tu!!Hiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Siyo wewe?Miaka miwili mbele kuna mtu flani atakufa
Undeni kama to ya PAC bungeni kwanza.Mtatapatapa sana Tanzania itaendelea kuwa imara.
Mbona ilishawai tokea huko Mtwara kwa Majaliwa na ule Moshi wa Wazee wa Luangwa!?Hapo chacha kuna watu wataanza kulizana ni kweli au uongo..[emoji28]
Hapana !niyeyeSiyo wwe!?
Bashir wa Sudani alikuwa implicated kwa vitendo vya majeshi yake yalivyokuwa yanafanya Dafur. Alikuwa hachukui hatua. Same thing, Magu anabariki maovu with evidence.Hiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Mbona umetumia nguvu kubwa kumjibu!? Ungempotezea tu,asiyejua maana haambiwi maana!!ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Jipange wwe na Familia yako Kama unaogopa Ma faili!!Kuwa na file ICC inatosha kukuweka sawa maana ile ni reference chochote kikitokea wata refer back.
Wewe hujasikia yale mauaji ya Zanzibar? Kumbuka kuna kesi za aina mbili. Ile ya mass murder ambayo dunia inaona- kama ile ya Dafur. Halafu ile ya kushitaki kama ile ya Gambia Vs Myanmar. Kwani Kenya walikufa watu wangapi? Na Kenyatta alikuwa culprit.ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Amsterdam fala tu! Labda anakutisha wwee tu!!Amsterdam, you are doing an amazing job in your mission to excorcise these devils!