Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Acheni uongo. Mlisema lissu atahutubia bunge la ulaya mwenyewe kasema ni uongo. Kashagundua uongo hausaidii kwa siasa za tanzania. Mumeshindwa uchaguzi mkuu munaenda kushitaki ICC? Nani aliwadanganya kama chama kikishindwa uchaguzi nchini kwake kinaenda kushitaki ICC. Nyie kweli ndio hamnazo. Ukishindwa uchaguzi unakwenda mahakamani kukata rufaa. ICC wanahusika na uhalifu dhidi ya binadamu kwenye nchi zilizo na vita sio nchi huru zilizofanya uchaguzi kwenye amani kama tanzania.

Bunge la EU haliwezi kujitengenezea precedent ya kijinga kama hiyo. Limsikilize Lissu, then who? Maalim Seif? Then who? Bobi Wine? Huo muda wa kuchezea linaupata wapi?

It’ll probably never happen! Bunge la EU linahangaika kubana muda hapa na pale ili wamalize yote waliyonayo kwenye to-do list yao halafu leo mtu anasema Bunge la EU limekubali kutenga muda ili kumsikiliza Lissu. What standing does Lissu have? He’s virtually nothing in their eyes!
 
Jamani boss wa mgombea wenu hajafika tu ICC. Labda kaishiwa nauli, mchangieni. Huyu Amsterdam atakuwa kapotea njia ya the Hague
 
Angalieni akili zenu vile mbaya unarukia ya Amsterdam ... yanakuhusu nini wewe

Mpaka sasa hamjajitokeza kutufahamisha sintofahamu zilizojitokeza katika ajira 13,000 za walimu mlizo tangaza maana huku mtaani hatuelewi imekuwaje ajira za sataili hiyo.

Kuna dosari nyingi sana mfano kuna form IV humo wa 2019 kapangiwa kufundisha sekondari je' chuo cha ualimu kasoma lini?

Mpaka sasa hamjajitokeza kutuekewesha imekuwaje Mahabusu kuapishwa kuwa Mbunge viti maalum ilikuwajekuwaje

Hata mwezi bado baada ya uchaguzi makijatangazia ushindi wa wizi tayari mnajikoroga kila kukicha ikifika miezi mitatu je itakuwaje na bado mpaka Januari dunia yenyewe itawashangaa
 
Mkuu, Kwani vipi, Huna Akira???

Kwa hiyo unaishije sasa?
Acha uzembe, Tafuta kazi jiajiri, hii mada inamhusu mshitaki wa nchi yetu, wewe unaleta habari za ajira hapa!!!

Njaa mbaya Sana aisee
 
Jamani boss wa mgombea wenu hajafika tu ICC. Labda kaishiwa nauli, mchangieni. Huyu Amsterdam atakuwa kapotea njia ya the Hague
Wanajisahaulisha haooooo! Soon watasema eti kuna "Form 7BQX/the Hague" hawakuambatanisha!
 
Angalieni akili zenu vile mbaya unarukia ya Amsterdam ... yanakuhusu nini wewe

Mpaka sasa hamjajitokeza kutufahamisha sintofahamu zilizojitokeza katika ajira 13,000 za walimu mlizo tangaza maana huku mtaani hatuelewi imekuwaje ajira za sataili hiyo.

Kuna dosari nyingi sana mfano kuna form IV humo wa 2019 kapangiwa kufundisha sekondari je' chuo cha ualimu kasoma lini?

Mpaka sasa hamjajitokeza kutuekewesha imekuwaje Mahabusu kuapishwa kuwa Mbunge viti maalum ilikuwajekuwaje

Hata mwezi bado baada ya uchaguzi makijatangazia ushindi wa wizi tayari mnajikoroga kila kukicha ikifika miezi mitatu je itakuwaje na bado mpaka Januari dunia yenyewe itawashangaa
Subirini dozi ikoleee,

Tunataka tujue mwendelezo kwanza wa kesi ya ICC na wakili wenu uchwara Amsterdam.

Haya mengine ya akina Mdee na Henje kutoka gerezani usiku, na ya uchaguzi ni vitu vidogo vidogo havitupotezei muda sisi kama kwenu ni issue fuatulieni.

Sisi tunasubiri mashitaka ICC tukajibu vilaza wakubwa nyie mnapelekwa tu kama manyumbu
 
Back
Top Bottom