Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

As long as Mabeberu hawana cha kugain kwenye kesi, in most cases ICC huwa haina meno. Ndio maana kuna midictator mingi tu inaua watu lakini hakuna kitu ICC wanafanya.

Libya, Misri, Yemen, Syria ni mifano michache. Mpaka Bashir wa Sudan anapinduliwa, ICC hawakuwa wamemfabya kitu na yule aliua maelfu ya watu huko Darfur.

Hiyo ‘power’ ya Lissu na ujuaji wa Amsterdam wa kwenye Twitter doen’t count at all na wala haitoshangaza ICC wakijiweka pembeni mapema sana.
Hii ni sawa na kupeleka malalamiko ya ndoa iliyofungwa kiislamu ikaamuliwe na kasisi wa kikatoliki. Amsterdam anadhalilisha wazungu wenzake kwa huu ulewa wake mdogo wa mambo ya kidunia , sijui lissu alimuokota wapi. Kweli chadema ni janga la dunia kama covid19
 
As long as Mabeberu hawana cha kugain kwenye kesi, in most cases ICC huwa haina meno. Ndio maana kuna midictator mingi tu inaua watu lakini hakuna kitu ICC wanafanya.

Libya, Misri, Yemen, Syria ni mifano michache. Mpaka Bashir wa Sudan anapinduliwa, ICC hawakuwa wamemfabya kitu na yule aliua maelfu ya watu huko Darfur.

Hiyo ‘power’ ya Lissu na ujuaji wa Amsterdam wa kwenye Twitter doen’t count at all na wala haitoshangaza ICC wakijiweka pembeni mapema sana.
ICC huwa hawajianzishii Kesi wenyewe. Ni hadi walalamikaji/waathirika wa huo uonevu/uhalifu wapeleke kesi ICC. Nadhani hata hapa kwetu ndivyo ilivyo. Mahakama haikuanzishii Tu Kesi Kwa vile umetendewa uovu fulani bila mlalamikaji kufungua jalada Polisi and then mahakamani.

Hivyo fahamu kuwa kuna utaratibu ambao unapaswa kufuatwa Kabla ICC hawajaanza kuendesha mashtaka. Kama utaratibu huo haukufuatwa then usiilaumu ICC Kwa kukalia kimya maovu yaliyotokea kwenye nchi ulizozitaja.

Mathalan, kama wananchi wa nchi hizo wali-mute au hawakufungua Kesi ICC baada ya kufanyiwa mabaya huwezi ilaumu ICC Kwa kutojihisisha nao. Hali hii ni tofauti na Tanzania ambapo wamejitokeza ma-champion wa kuiburuta Serikali mahakamani ICC.
 
ICC huwa hawajianzishii Kesi wenyewe. Ni hadi walalamikaji/waathirika wa huo uonevu/uhalifu wapeleke kesi ICC.
Thats right. Hicho alichopeleka Maria Sarungi na ACT kama hakina maslahi kwa ‘powerful donor countries’ ninakuhakikishia kwamba ICC watakitupa huko.

ICC hawakurupuki. Watakuja kuchunguza. Watu wenyewe tumeshindwa hata kuandamana tu kupinga yaliyotokea na maisha yanasonga as if hakuna kilichotokea

Zanzibar kwenyewe wapinzani wote isipokuwa Seif ‘wamerubuniwa’ na kuukubali utawala mpya. Hao waliouawa wanaweza kubebeshwa lawama za kutaka kufanya uhalifu ili kuvuruga amani ya Nchi

ICC hawatofanya kitu. Time will tell!
 
Huyu R. Amsterdam kweli ni mtu? Ana uchungu gani na Watanzania? Isijekuwa ni katika wale waliochukuliwa mali!
Matapeli ya kizungu hayo,sema wao Matapeli pia hupitia vyuo vikuu!!
 
Kazi za Robert Amsterdam ni hizi hapa

The story of Robert Amsterdam sheds light on yet another cog in the "globocrat" machine, one rarely noticed or reported upon because, like the US funded NGOs, its role is one meant to feed back into localized unrest fomented by the globalists from afar. Amsterdam's job is to rehabilitate failed color revolutions, failed puppets, fallen thorns from the sides of the globalists' enemies, and to ensure that no matter how deep and dark the hole is a foreign country puts the globalists' operatives, they remain a burden and concern upon them indefinitely.

Robert Amsterdam isn't just any lawyer. He is co-founder of Amsterdam & Peroff, a major corporate member of the globalist nexus Chatham House Then there is the fact that nearly all of his clients are either exiled, on the run, or rotting in prison, yet he is still able to find more "high profile" cases.

To be fair, Amsterdam's clients are hopeless causes, guilty of such overt criminality there really is no defense. And while it may be noble to defend such men, adhering to the best traditions and values of the West, Robert Amsterdam goes well beyond this, abusing this responsibility in order to carry out specific political objectives on behalf of the globalists with whom he consort
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Acheni uongo. Mlisema lissu atahutubia bunge la ulaya mwenyewe kasema ni uongo. Kashagundua uongo hausaidii kwa siasa za tanzania. Mumeshindwa uchaguzi mkuu munaenda kushitaki ICC? Nani aliwadanganya kama chama kikishindwa uchaguzi nchini kwake kinaenda kushitaki ICC. Nyie kweli ndio hamnazo. Ukishindwa uchaguzi unakwenda mahakamani kukata rufaa. ICC wanahusika na uhalifu dhidi ya binadamu kwenye nchi zilizo na vita sio nchi huru zilizofanya uchaguzi kwenye amani kama tanzania.
 
Thats right. Hicho alichopeleka Maria Sarungi na ACT kama hakina maslahi kwa ‘powerful donor countries’ ninakuhakikishia kwamba ICC watakitupa huko.
Zitto na Tundu LISU hadi kwenye kampeni zao waliipiga vita Marekani kibiashara WAZIWAZI NDANI YA BUNGE na nje ya bunge na kwenye kampeni Kkupinga ununuzi wa ndege toka BOeing.Zitto kabwe alifikia hatua hadi ya kutamka kuwa ndege zilizoletwa ni mitumba zimepakwa tu rangi!!! Imagine anatukana shirika kubwa kama Boeing kuwa lime supply ndege mitumba shirika lenye hadhi kubwa duniani kama BOEING

Ikumbukwe kuwa wamiliki wakubwa wa kampuni ya Boeing ni wanahisa wengi wa Marekani

Zitto Kabwe na LIsu na vyama vyao wamekuwa wakipinga srikali isinunue ndege zao kuwa hazihitajiki hivyo wakitaka wamarekani wakose soko la ndege zao

Lisu na chama chake cha Chadema hawakuwatetea wenye hisa wa BOEING wa MAREKANI ili wapige pesa walitaka kampuni yao ya boeing iyumbe kwa kukosa soko na watu maelfu wafanyakazi wa Boeing wakose ajira na serikali ya Marekani ikose kodi itokanayo na mauzo ya hizo ndege

Wamarekani washukuru Magufuli kasimama kidete kuhakikisha ndege toka Boeing zinanunuliwa

Zitto Kabwe na chama chake na Tundu LISU na chake si wapinzani tu wa Tanzania bali ni wapinzani pia wa biashara za Marekani za ndege.
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
HAWEZI KUTOBOA HII KESI MAANA HUU UJINGA NDO WALIKUWA WANAUTUMIA KUSABABISHA VITA NA MIGOGORO KATIKA MATAIFA MENGI YA AFRICA. YEYE NI NANI KATIKA ULIMWENGU HUU LISSU ANAJISUMBUA BURE BAADA YA NIA YAKE YA MAANDAMANO KUTOUNGWA MKONO NA WATANZANIA
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Ukiingia tena kwenye akaunti hiyo, niandikie SH**!
 
Back
Top Bottom