mtamamtete
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 410
- 353
Wengi, hawana idadi.Magu kauwa watu wako wangapi mpaka hivi Sasa!?
Wengi, hawana idadi.Magu kauwa watu wako wangapi mpaka hivi Sasa!?
Mishipa ya shingo imekutoka kwa kumtetea huyu mhutu, amekufanyia nini jema. Dude katili, liuaji, lisilothamini utu.Muda mfupi tu mesahau kuwa mlijaza JF na picha/video za kuunganisha ionekane kampeni za mliyemwita "NiYeyeee" kuwa na nyomi?
Mmesahau kuwa, kwenye kampeni, huyo MTU wenu, badala ya kunadi Ilani akawa bingwa wa matusi na kuhamasisha vurugu.
Au mmekwisha kusahau kuwa Niyeyee huyo alijigamba kupeleka viongozi ICC akishindwa uchaguzi.
Hivi yuko wapi zaidi ya kukimbia nchi na kuwaacha kwenye mataa.
Mnachoweza kifanya, kama ni jasiri kwa ujasiri wenu wa matusi na dua mitandaoni, nendeni barabarani, mkinukishe.
Hakuna wa kushitakiwa labda kundi la walafi wa madaraka kwa gharama yoyote.
You are just a bunch of evils full of wishful thinking.
But message sent.“Urguments” [emoji1787][emoji1787]
Mauaji yaliyotokea Tanzania siyo genocide kwa definition ya Umoja wa Mataifa. Genocide ni unapokusudia kuangamiza kundi maalum la raia wasio silaha aidha kwa sababuza kidini, kikabila, kijinsia nk.kwa wajuvi wa sheria hebu mtupe tafsiri halisi ya kipengele hiki cha makosa yanayo paswa kushugurikiwa na ICC, Kwa kuzingatia yaliyofanyika znz tumo au la maana watu wanakuja na blabla za kiitikadi bila kuzingatia yaliyomo.
1.First, the crime of genocide is characterised by the specific intent to destroy in whole or in part a national, ethnic, racial or religious group by killing its members or by other means: causing serious bodily or mental harm to members of the group; deliberately inflicting on the group conditions of life calculated to bring about its physical destruction in whole or in part;
kwa mimi hapa naona kama kuna harufu isiyopendeza tujipange tuone tunatokaje.
Ukiwa ccm kichwani unakuwa hiviAfadhali ushenzi, wao ni majizi na nunda wala watu
kuangamiza kundi la upinzani lisilo CCM particlarly CHADEMAMauaji yaliyotokea Tanzania siyo genocide kwa definition ya Umoja wa Mataifa. Genocide ni unapokusudia kuangamiza kundi maalum la raia wasio silaha aidha kwa sababuza kidini, kikabila, kijinsia nk.
mbona wahaya wana akili, sasa wewe ni muhaya au ni mushutiAmsterdam na Lisu wake walikula za uso October 28th....kilichobakia ni zile Hekaya za Mfa maji haishi kutapatapa na mkae mkijua kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.
RIPMiaka miwili mbele kuna mtu flani atakufa
Mimi ni Muhaya pure na nina akili sana, sema tumepishana kile tunachokiamini na ndio maana unanitoa akili na kuondoa uhalali wa kabila langu.mbona wahaya wana akili, sasa wewe ni muhaya au ni mushuti
Huyu Ansterdam janja yake tushaijua.Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Mimi ni Muhaya pure na nina akili sana, sema tumepishana kile tunachokiamini na ndio maana unanitoa akili na kuondoa uhalali wa kabila langu.
Lisu ni geniusHapo vipi?View attachment 1627967
Sawa ngoja tusubiri upumbavo wake huo atakao upelekaRobert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.