Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Viongozi wa dini wa Tanzania wanasubiri sadaka zetu kesho kutwa.
Kama Gwajima anajiita mtumishi wa Mungu, na anajua fika yupo bungeni kwa kura za wizi, na walio dhurumiwa ni kati ya watoa sadaka, nahisi kuna tatizo kubwa kwa imani zetu.
 
Kama Gwajima anajiita mtumishi wa Mungu, na anajua fika yupo bungeni kwa kura za wizi, na walio dhurumiwa ni kati ya watoa sadaka, nahisi kuna tatizo kubwa kwa imani zetu.
Sidhani kama unafikiri vizuri au vipi? Chama chenu kimechokwa kwa sababu ya sera zake mbovu, ilani ya hila, mikakati na mbinu za ushari, ghasia na kujitengenezea matukio ya kujilipua na kujiteka ili kutafuta visingizio na huruma za wananchi wahanga na wafadhili wasiojitambua. Kule Kawe HM alikuwa ameona kitambo sana tu kuwa ile ngoma ilikuwa very heavy kwake kuicheza na kwamba asingeweza kushinda, ndiyo sababu akaanza figisu za Plan B za kutafuta namna ya kuvuruga uchaguzi. Na kuchokwa huku kulifikia kilele chake wakati wa korona.

Mlilikimbia Bunge kilaghai kwa kisingizio cha korona, ambapo lengo lenu halisi la kukwamisha mambo na kuzuia utendaji wa serikali lilishindwa kwa fedheha kubwa kwenu. Askofu Gwajima alikuwa mstari wa mbele kabisa kuwatia shime Watanzania, ilhali ninyi mkieneza hofu na chuki na kubeza. Ndiyo maana wananchi wamewapuuzeni nyie ilhali wamemwamini yeye na kumpatia nafasi awe Mbunge wao ili nyie jamaa waogawaoga mbaki huko kuwa raia wa kawaida. Jifunzeni, nyie! Adios!
 
Before you rush to such a childish conclusion, zingatia nchi kama Kongo, Libya, etc. Don't be so naive!
kwan hao congo, libya nk unafkiri waliinuka tu siku moja wakafikia hapo?! haya mambo huanza kidogokidogo kwa kushadidiwa na watu kama ninyi. cha ajabu mnashadidia lakin madhara yake yatakapokolea hata wewe utaathirika hata kama siyo moja kwa moja wewe kama wewe lakin jua una watoto, wajukuu ndugu nk.

hiv vitendo vya kutawala wananchi wenzako kimabavu havina nafas kabisa dunia ya leo. havitokuwa na faida ya kwel chanya kwa mtawala wala mtawaliwa. ni vitendo vya kukataliwa na kila mwananchi anayejielewa na mwnye nia njema. hii ni karne ya 21 utatawalaje wenzako kinguvu?! why? hatutokubali kamwe..tutakataa mpaka tone la mwisho. tutatafuta uungwaji mkono kutoka ndani na nje. kila mwenye nia njema akatae mambo haya ni ya kijinga. hata mwalimu hakutufundisha jizi mambo za hovyo hovyo hiz. Tunataka wananchi tuwe huru ndani ya nchi yetu. hii ni karne ya 21 hakuna nafas ya kuleta mambo ya kitumwa hapa.
 
Kesi 3 mtu mmoja mahakama moja..aisee!!

Mungu tenda muujiza utuokoe sisi waja wako kwenye haya machucha ya wakoloni weusi.
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Mnachekesha Sana mnaoshabikia hakuna kesi ICC tz mwendo mudundo.
 
kwan hao congo, libya nk unafkiri waliinuka tu siku moja wakafikia hapo?! haya mambo huanza kidogokidogo kwa kushadidiwa na watu kama ninyi. cha ajabu mnashadidia lakin madhara yake yatakapokolea hata wewe utaathirika hata kama siyo moja kwa moja wewe kama wewe lakin jua una watoto, wajukuu ndugu nk..
Labda wewe ndiyo unatawaliwa kimabavu sisi wengine maisha no salama kabisa na tuko huru kufanya lolote tunalotaka muda wowote sehemu yoyote bila vikwazo vyovyote
 
kwan hao congo, libya nk unafkiri waliinuka tu siku moja wakafikia hapo?! haya mambo huanza kidogokidogo kwa kushadidiwa na watu kama ninyi. cha ajabu mnashadidia lakin madhara yake yatakapokolea hata wewe utaathirika hata kama siyo moja kwa moja wewe kama wewe lakin jua una watoto, wajukuu ndugu nk....
Pls usijaribu kabisa hata siku moja kunilisha siasa zenu za ushari na kupenda kumwaga damu za Watanzania wasio na hatia. Hivi huwa unamsikiliza Mr Mzungu wenu kweli, ama wakati akizungumza unafumbaga hivyo visikizio vyako viwili??? Huyo jamaa hajawahi hata siku moja kuzungumza bila kutamani, kudokeza na kuchochea ghasia na mtifuano na vifo vya Watanzania. Nia yake kwa nchi yetu ni MBAYA, OVU, & YENYE DHULUMA, na inapaswa kwa nguvu zote kupigwa vita na kupingwa na kila mwananchi mzalendo wa kweli. Ndicho alichokuwa amekuja kufanya.

Alitumwa na wafadhili wake ili kuwavuruga Watanzania na kuharibu utaratibu mzuri wa uchaguzi. His actions and words are simply full of vilifications & violence & fabrications & misrepresentations of real facts, and beyond measure! Hata kujificha hawezi tena. Wananchi wa Tanzania walimpokea kiungwana kwa sababu ya masahibu yaliyompata, yeye akatafsiri kwamba wamepatia ruhusa na nafasi ya kusema lolote, kutukana viongozi, kumtukana Rais na Mkuu wa Nchi, kuvikashfu vyombo vya ulinzi na usalama na kuwazodoa na kuwadhalilisha Watanzania. No way!
 
CCM sidhan kama wanaweza kuondoka madarakani kistaarabu. Inabidi kuruka nao kivyovyote tu.
 
Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana
Huu ni utumwa mkubwa xana wa kifikra ukweli upo wazi kwenu lakini mnaendelea kujificha,,,ivi mnafikiri wazungu ni ndugu zenu au shangaz zenu waje kuwajengea nchi yenu huku tz,,,kwa uelewa wangu wanaeza kuja kuwalagai vijana washike siraha kuua ndugu zao basi,,,,africa hatuna kiwanda Cha siraha jiulize waasi wanazitoa wapi...
 
Ahahaaa. kila anapotekea mpinzani wa kweli ccm mnampa jina baya ili mumnyonge. cuf waliingizaga majambia zanzibar na ni magaidi, ila kwa sasa ni magaidi tena bali act ndo magaidi wa kutupwa...nccr na tlp vilikuwa vya wachaga ila kwa sasa si vya wachaga tena, kwa sasa ni chadema ndiyo itakuwa ya wachagga.

propaganda za kitoto hizo. mtapingwa tu ndani na nje ya nchi. karne hizi demokrasia ni jambo la shuruti na siyo option. dunia ni kijiji, wananchi tuna haki ya kuchagua watu wa kutuongoza na si kulazimishwa kutawaliwa kimabavu na kakikundi. Hila zenu hazitofanikiwa kamwe.
 
CCM sidhan kama wanaweza kuondoka madarakani kistaarabu. Inabidi kuruka nao kivyovyote tu.
Pls, next time, use your brain to reason. Kwa uongozi upi na viongozi gani, ilhali vyama vyenyewe hivyo ni dufu na vinaongozwa kwa rimoti kutoka London & Washington? Kwa staili hiyo, sishangai sana kuona mkiwa watu ambao mmekuwa infamous sana kwa kutengeneza matukio na ghasia, kungoja mabaki ya Sisiemu na kungoja kauli za mabeberu iko ziwabebe ili mwingie madarakani! Kama hizi ndizo strategy zenyewe, mnapoteza muda na kujisumbua! Like it or love it, hamtakaa hata msurvive kama chama. Your are absolutely doomed to a complete nonexistence!
 
Pls, next time, use your brain to reason. Kwa uongozi upi na viongozi gani, ilhali vyama vyenyewe hivyo ni dufu na vinaongozwa kwa rimoti kutoka London & Washington??? Kwa staili hiyo, sishangai sana kuona mkiwa watu ambao mmekuwa infamous sana kwa kutengeneza matukio na ghasia, kungoja mabaki ya Sisiemu na kungoja kauli za mabeberu iko ziwabebe ili mwingie madarakani! Kama hizi ndizo strategy zenyewe, mnapoteza muda na kujisumbua! Like it or love it, hamtakaa hata msurvive kama chama. Your are absolutely doomed to a complete nonexistence!
Iko wazi, bila polisi ccm haiwezi songa.
 
Labda wewe ndiyo unatawaliwa kimabavu sisi wengine maisha no salama kabisa na tuko huru kufanya lolote tunalotaka muda wowote sehemu yoyote bila vikwazo vyovyote
Na wala sina tatizo na hilo la wewe kujiona upo huru..ni haki yako na ndiyo demokrasia. tatizo linakuja pale wewe unapotaka na mimi pia kunilazimisha nijione huru hata kama kiuhalisia nipo utumwani misri na unatumia mabavu kunilazimisha hivyo. achieni demokrasia ifanye kazi ili kati ya nyie mnaojiona mpo huru na sisi tunaojiona hatupo huru wote tuchague kwa huru...anayekubalika na wengi ndo awe kiongoz..hii ya kutulazimisha kamwe haitokubalika na ipo siku itabadilika tu penda usipende sababu uovu na ujanja ujanja huwa hauvidumu na havinaga mwisho mwema...kama si leo ni kesho...hata kama ni miaka100 ijayo itabadilika tu...siku hazigandi
 
Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.

When do we learn to stand on our own, when dealing with all issues to do with life? Huyo jamaa hana uwezo huo anaousema. Kuna mtu anapigwa hapo. Yangu macho
 
When do we learn to stand on our own, when dealing with all issues to do with life? Huyo jamaa hana uwezo huo anaousema. Kuna mtu anapigwa hapo. Yangu macho
Tunasimama pamoja katika issues zetu wakati nyinyi mna bunduki na mkituua hamuulizwi chochote!
 
ahahaaa. kila anapotekea mpinzani wa kweli ccm mnampa jina baya ili mumnyonge. cuf waliingizaga majambia zanzibar na ni magaidi, ila kwa sasa ni magaidi tena bali act ndo magaidi wa kutupwa...nccr na tlp vilikuwa vya wachaga ila kwa sasa si vya wachaga tena, kwa sasa ni chadema ndiyo itakuwa ya wachagga. propaganda za kitoto hizo. mtapingwa tu ndani na nje ya nchi. karne hizi demokrasia ni jambo la shuruti na siyo option. dunia ni kijiji, wananchi tuna haki ya kuchagua watu wa kutuongoza na si kulazimishwa kutawaliwa kimabavu na kakikundi. Hila zenu hazitofanikiwa kamwe.
I told you already utumie angalau hata kipasenteji kidogo cha kuwaza. Huwezi kuchaguliwa na raia ambao unatamani kuwaandamanisha ili wafe, waumizwe, wateswe, wapoteze mali zao kama sehemu ya kujipatia chambo cha kisiasa na maslahi binafsi. Msingi wa sera yenu inawaharibia ninyi wenyewe. Sikieni ushauri ukiambiwa! Hakuna demokrasia isiyokuwa na mipaka. Hakuna haki isiyokuwa na wajibu.

Lazima kiongozi bora aoneshe kwa maneno na kauli kiwa anao uwezo wa kutetea na kulinda uhai wa watu na mali zao kabla hajaaminiwa kupewa nafasi ya kuwaongoza. Kiongozi wa kukataa maendeleo na kuchagua ghasia na matusi na uongo na kashfa hana nafasi yoyote katika ustawi wa Tanzania. Haingii akilini hata chembe kuwapa dhamana kubwa kiasi hicho!
 
Iko wazi, bila polisi ccm haiwezi songa.
Jeshi lipo kwa ajili ya kudumisha amani & utulivu, kuwalinda raia na mali zao. Yeyote anayejaribu kuvuruga nchi kwa maslahi ayajuayo mwenyewe, lazima ataangukia mikononi mwa sheria. Msivichonganishe vyombo vya dola!
 
Back
Top Bottom