Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Hata hwatait

Hata hawataitwa, hayo niawazo yako tu.
Nataka niwashauri bavicha, kila anachofanya magufuli kam miundo mbinu madege na mikopo ya halimashauri msitumie wala msichukue,, ili mmkomeshe magufuli na serikali yake,
Mahospital msiende, mwende kenya na huduma za serikali msitumie, ili muanze nyoe kuweka vikwazo kwenye hii serikari.
Hahahhaha hata Ruto hakutegemea kuitwa wala Joshua arap sang hakutegemea maana hawakuua halaiki we endelea kujipa moyo
 
Anachokifanya Amsterdam ni sawasawa kabisa na kupeleka kesi ya wizi wa kuku mmoja mahakama kuu 😃😃😃

Tatizo la BAVICHA na viongozi wao shule ndogo, hawajui hata ICC ni kitu gani, mradi mzungu amesema wao ni kushangilia tu, so ignorant.

Hivi hata hamuoni yanayoendelea kwenye nchi nyingine, kwa mfano mnajua kilichotokea Guinea hivi karibuni? Mnajua yanayoendelea Uganda kwenye kampeni za uchaguzi?

Bavicha na waliopewa ubunge ccm mkuu lakin hakuna uvccm hata mmoja kazawadiwa
CC
Waitara
Juliana
Kitambi
Etc
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Ahahahahahah! I'm looking forward see the end of this, because there are very stupid people who think will be baby seated on the throne by beberus! Ahahahahahah!
 
Kuna mambo huwa watu wanafanya, badala ya kuleta laana yanawabariki walioyafanya.

Amsterdam alishapoteza. Aongee tu na awaye yote nina hakika Hakuna atakalo badilisha.

Kama watanzania tunaishi hivi tunavyoishi, yeye nani amempa madaraka hayo makubwa ya kuwaamulia watanzania hatima yao?

Yes, Luna mambo wajinga wakiyafanya wanawabariki wale wanaowachukia
 
When a person has been self-deceived to not go certain direction or do what is right, it is very common for them to fabricate every EXCUSE possible; are even readily disposed to accepting any kind and any amount of lies that may tend to lead them in their own way of choosing. ~ Thomas Jefferson
Naona ungeandika tu kiswahili kuliko hiyo lugha yako...wengine hizo lugha za kuja na meli hatuzijui
 
Hiyo kesi haitofika popote.

Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Hakuna mtu anaemchukia Magufuli. Watu wanachukia/wanakerwa na matendo yake ya ukatili dhidi ya Binadamu wengine.
 
ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu

Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Kwanini Internet ilizimwa wakati wa Uchaguzi?? Kulifichwa nn??
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Rabid dog!
 
Huyu 'Mume' wenu 'Wapuuzi' fulani fulani ameshawaambia kuwa mpaka hivi leo amezifungulia Kesi ngapi nchi za Ulaya aliko hadi huko Marekani?
 
Njia za kipuuzi hizo - utawakuta wanaoshitakiwa ni mbwa huku wenye mbwa wakiwa safe - hatuhitaji hiyo ICC
 
Back
Top Bottom