Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
😁😁😁😁😁
 
Fanya fasta kumshitaki huyu mhutu. Ripoti ya Umoja wa Mataifa ya hivi karibuni inaonesha Tanzania ni nchi isiyo na furaha duniani. Imeshika nafasi ya 147 kati ya nchi 154. Moja ya sababu ya nchi hii kuwa yenye huzuni ni kufiwa kwa demokrasia, wizi wa kura kupata watawala haramu, mauaji kwa wapinzani, hali ngumu ya maisha, nk. Yaani nchi ipo msibani. Mhutu na genge lake akajieleze ICC.
Source???
 
ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu

Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Jaribu kusoma crimes against humanity inabeba makosa mangapi?? Kwa uchache nakumbuka
1 war crimes
2 deportation
3 enslavement
4 torture
5sexual violence
6 force disaperences
7imprisonment
8 persecution
 
Ripoti ya Umoja wa Mataifa ya hivi karibuni inaonesha Tanzania ni nchi isiyo na furaha duniani. Imeshika nafasi ya 147 kati ya nchi 154.
Wanaweza hata kuiweka ya 197 sababu wao ndio hawana furaha na Tanzania, japo wanaitamani sana
 
  • Thanks
Reactions: len
ICC isn't there to undermine the sovereignty of the certain countries.
Soo kila kesi inayoenda mahakamani inakuwa na ukweli ndani yake.
 
Hata hwatait
Agh wapi kuitwa tu the Hague ni hatua njema itawaamsha sisiemu hujamuona musiba?
Hata hawataitwa, hayo niawazo yako tu.
Nataka niwashauri bavicha, kila anachofanya magufuli kam miundo mbinu madege na mikopo ya halimashauri msitumie wala msichukue,, ili mmkomeshe magufuli na serikali yake,
Mahospital msiende, mwende kenya na huduma za serikali msitumie, ili muanze nyoe kuweka vikwazo kwenye hii serikari.
 
Jaribu kusoma crimes against humanity inabena makosa mangapi?? Kwa uchache nakumbuka
1 war crimes
2 deportation
3 enslavement
4 torture
5sexual violence
6 force disaperences
7imprisonment
8 persecution
Namba 7 na 8 zinaihusu sana yanayoendelea Tanzania ya Magufuli. Kaleta kitu asichoelewa huyo gamba. Lugha ni tatizo kwa wabongo.
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Ndio maana jamaa amemwambia AG ajiandae na changamoto kubwa mbeleni!

 
Sadaka kwa hawa wanaojiita 'watumishi wa Mungu' tusitishe kuwapa hawana msaada kabisa ktk ustawi wa nchi. hata kuonewa na kuhujumiwa na wakoloni weusi wao wanashangilia tu!
 
Wananchi wa Tanzania wapo wanaona jinsi vibaraka wanavyotaka nchi yao ishtakiwe, uku wao wakikimbilia ughaibuni kula bata.
 
Wananchi wa Tanzania wapo wanaona jinsi vibaraka wanavyotaka nchi yao ishtakiwe,uku wao wakikimbilia ughaibuni kula bata.
Endeleeni serikali lakini wale mnaowapelekea bakuli wanaelezwa unyama wenu live.
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
yaani chadema mnatia sana aibu aisee, mmekua kama toilet paper za wazungu. Hamuendi fungua kesi ICC. Inabidi ICC ndo ije wafungulia kesi viongozi you imbecile
 
Ended hen I serikali lakini wale mnaowapelekea bakuli wanaelezwa unyama wenu live.
Hivi wew mama ndio wale mlifukuzwa kwa kukosa vyeti vya form four nini? Shame unamdhalilisha sana Oprah...
 
yaani chadema mnatia sana aibu aisee,,...mmekua kama toilet paper za wazungu...hamwendi fungua kesi ICC..Inabidi ICC ndo ije wafungulia kesi viongozi you imbecile
Bora wazungu kuliko kikundi hatari kwa utu wa mwanadamu kinachoitwa CCM.
 
Back
Top Bottom