Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Bora wazungu kuliko kikundi hatari kwa utu wa mwanadamu kinachoitwa CCM.
lazima uongee hivyo kama umenyang'anywa bakuli la chakula. Jua kuna zama zenu zimepita, ila am sure ukirudi nyumbani hadi mzee wako anakubali yanayoendelea Tanzania
 
Sadaka kwa hawa wanaojiita 'watumishi wa Mungu' tusitishe kuwapa hawana msaada kabisa ktk ustawi wa nchi. hata kuonewa na kuhujumiwa na wakoloni weusi wao wanashangilia tu!
Mi nshaachaga huo upuuzi sadaka yangu bora niinywe mbege au nikat.ombee
 
Anachokifanya Amsterdam ni sawasawa kabisa na kupeleka kesi ya wizi wa kuku mmoja mahakama kuu 😃😃😃

Tatizo la BAVICHA na viongozi wao shule ndogo, hawajui hata ICC ni kitu gani, mradi mzungu amesema wao ni kushangilia tu, so ignorant.

Hivi hata hamuoni yanayoendelea kwenye nchi nyingine, kwa mfano mnajua kilichotokea Guinea hivi karibuni? Mnajua yanayoendelea Uganda kwenye kampeni za uchaguzi?
 
Akili za kitumwa
Yaani inashangaza kabisa!

Nilidhani watu wa aina hii walipotea baada ya kuelimika, lakini ajabu hii mbegu bado ipo.

Mtu unatamani utumwa kama ng'ombe kwenye kipindi cha joto anavyotamani dume...ajabu kabisa!
 
Akishamaliza akamfungulie kesi na Trump halafu tutegemee kusikia Tanzania imejitoa ICC ikifuatiwa na Uganda na Rwanda kisha nchi kibao za Afrika huku ikiwa haijamaliza bifu lake na Wamarekani
 
ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu

Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Jipe moyo ndugu!
 
Akishamaliza akamfungulie kesi na Trump halafu tutegemee kusikia Tanzania imejitoa icc ikifuatiwa na Uganda na Rwanda kisha nchi kibao za Afrika huku ikiwa haijamaliza bifu lake na wamarekani
Usijinganishe na Marekani.... wewe upo level moja ya thinking na Rwanda; Burundi; Uganda.
Marekani yenye watu zaidi ya 300m; iliyokuacha kimaendeleo kwa zaidi ya miongo 10. Haya unayoyafanya wao waliyapitia karne ya 13 afu eti nn
 
Jisemee nafsi yako usinisemee mimi wacha kiherehere
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Huyu naye chizi kweli. Kesi ya nini sasa watu huku tunapiga kazi
 
  • Thanks
Reactions: len
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Ndiyo maana Musiba kabadili gia angani
 
Back
Top Bottom