jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,648
- 4,452
Na hakika kuna wanasheria tz wazuri kuliko huyu samaki mweupe Amsterdam
Truth cannot get beyond this!Wanaweza hata kuiweka ya 197 sababu wao ndio hawana furaha na Tanzania, japo wanaitamani sana
Ndiyo, tunajua mmeshindwa uchaguzi. Fikra za namna hii, upinzani hamtakaa kamwe mchukue dola. Labda mwendelee tu kuchukua dola za mikopo ya Wazungu.Ni kweli Wafrika tunahitaji wawekezaji wa kizungu hata kwenye demokrasia maana kote tumeshindwa!
Hivi ndivyo vyeti FEKI tunavyovikataa kabisa; tunataka matokeo. Kusifiwa CV huko kitu gani wakati sisi lengo letu kila Mtanzania apate umeme, maji, huduma ya afya na elimu bora??? Kumbe ndiyo maana Mzungu wenu anajitahidi kusafiri Ulaya ili kuongeza CV??? Empty mindset!Hata kama ila CV imechafuka ...
Mbona wabongo hawana time, wanachapa kazi tu. Kilichobaki ni comedy zenu mitandaoni za kujifariji.Na kama hayawakeri kaeni kimya.
Safiii Sanaaa.Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Wakoloni weupe wanahakikisha umeshiba kabla ya kukutoa jasho lakini weusi ana kutoa jasho ukiwa na njaa.Heri ya wakoloni weupe kuliko weusi
Mbona wabongo awana time,wanachapa kazi tu.
kilichobaki ni comedy zenu mitandaoni za kujifariji.
Mama D na wewe, hivi unaweza kufungua kesi tu hata hapo kisutu bila kupeleka documents kwa masijala wa mahakama? ambaye naye atazipitia na kuona zina mashiko ama lah ili kesi ifunguliwe ama itupwe siyo, au na hili nalo hadi ufundishwe?Hivi kumbe wakati ule Maria alipeleka nyaraka ICC kesi ilikua bado kufunguliwa😁😁😁
![]()
Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu
10,000Nilikuwa nafanya utani na hiki kitu ngoja nikaweke kura yangu.www.jamiiforums.com
Siwezi bishana na lunaticTulia dawa iingie vizuri.
Kwa nini hao mabwana zako hawabwabwaji kama wewe?
Nilijua baada ya docs kila kitu tayari kwa sasa, kumbe bado iko kwenye matarajioMama D na wewe, hivi unaweza kufungua kesi tu hata hapo kisutu bila kupeleka documents zilizoshiba kwa masijala wa mahakama? ambaye naye atazipitia na kuona zina mashiko ama lah ili kesi ifunguliwe am itupwe!
ni process !!Nilijua baada ya docs kila kitu tayari kwa sasa, kumbe bado iko kwenye matarajio
Mkuu,Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
What is the end game, With proper mental faculties, was Tundu Lissu prepared to win 2020 Election in Tanzania?Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.