Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
I remain existing in the "wait and see" atmosphere.
 
Kama huna data,usiongee usichokijua wewe poyoyo,sababu ya maridhiano na katiba ya haki Kenya ni ICC kwa taarifa yako hakuna nchi yenye katiba nzuri Afrika kama Kenya kwa sasa
Katiba ya Afrika ya Kusini inazidi hata katiba ya Marekani.
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Ni kwamba Magufuli hakujua kuwa anaweza akshtakiwa nje ya nchi kwa mabaya anayoweza kuyafanya hapa nchini alijua kila kitu kipo mikononi mwake hivyo ana uwezo wa kuzuia au kuruhusu kumbe kuna mahakama za nje ambazo zinaweza kumuhoji na kumhukumu hakulijua hili sasa anaanza kuamini kuanzia leo kuwa uongozi ni unyenyekevu, kuto haki kwa kila mtu na upendo
 
ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu

Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
What you think you see while standing there are others who sees them while seated...
 
Huyu Robert na kiherehere chake angekuwa anaishi buguruni wale wasiojulikana wangesha mshukia kama mwewe! ha ha ha
 
Bwana Yule, kwa matendo yake, atatusaidia kuondokan na hili dubwasha linaloitwa sisiem.

Hiki ni kikundi cha watu hatari sana kinachoweza fanyia uhalifu wowote dhidi ya binadamu mradi kulinda ugali wao. Ni lazima kidhibitiwe.
Imagine?! Tuna tatizo kubwa sana
 
ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu

Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo

If that makes Lissu and his masters happy, let them be happy! Kuna watu wanadhani hata kibaka yeyote akiamua kufungua kesi yoyote ICC ruksa!
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.

Kila hila inabuma/itabuma, moja baada ya nyingine. No weapon formed against us shall prosper!
 
We Jamaa utakua mchawi, mambo gani haya ya kuombeana kufa,
Sema hata hivyo hakuna atakayebaki hapa duniani wote tunapita tuu , ni suala LA muda , muda wako ukifika hakuna namna utaondoka tuu
Maisha ni kama hadithi tu, basi ewe ndugu yangu kuwa hadithi njema kwa hao watakaosimuliwa.
 
From CHADEMA ya kutafuta vijana chuo kuwajenga kuwa Viongozi wa badae to CHADEMA wanategemea kushinda kwajili ya Mwanasheria mwenye ofisi Washington na London... Kwaiyo sasa hivi kamati kuu ya CHADEMA itakua inaongea nini Bob Amsterdam anafanya kuhusu mipango yao. Shame!
Wewe unafikiri ofisi gani ya mwanasheria Tanzania ingeweza kutetea CHADEMA au Lissu? Hivi huoni au ndio unajifanya huoni? Fatma Karume kafutiwa practice sababu ya kuongea ukweli. Where is Kibatala aliyekuwa anatetea kina CHADEMA?

Wanasheria wanaogopa retaliation ndio maana kaona bora achukue mwenye ofisi nje ya Tanzania. Yule mwanasheria wa Arusha tu naye alipata mkwara kwa ajili ya kutetea vyombo vya habari na akakamatwa na kusekwa ndani.
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Aende kumsaidia Trump, huku Tanzania atapotea kama Korona nadhani haijui Tanzania vizuri. Jina la Amsterdam inabidi liingizwe kwenye maombi kanisani na misikitini aanze kusomea Albadili
 
Back
Top Bottom