Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Bwana Yule, kwa matendo yake, atatusaidia kuondokan na hili dubwasha linaloitwa CCM.

Hiki ni kikundi cha watu hatari sana kinachoweza fanyia uhalifu wowote dhidi ya binadamu mradi kulinda ugali wao. Ni lazima kidhibitiwe.
Hawezi, hivi wewe umewahi kumuona Amsterdam? Hilo dude ni uzushi wa Lissu! Amsterdam does not exist! Ukisoma maadiko mnayo danganywa ni ya Amsterdam, utaona yana mihemuko ya kilissu Lissu!
Uandishi ni wa kijazba/visasi visasi kilissu type.
 
Hakuna mtu anaemchukia Magufuli. Watu wanachukia/wanakerwa na matendo yake ya ukatili dhidi ya Binadamu wengine.
Nadhani unawazungumzia wale wanaotamani SANA yatokee machafuko na kumwaga damu nchini ili wapate ushahidi wa kuvuruga nchi na kujichotea rasilimali zetu kama Kongo. Hujaifahamu akili mbovu ya Mzungu, wewe!
 
Hiyo kesi haitofika popote.

Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Mkuu inaweza ikawa chachu ya kubadilisha katiba.tukae kwa kutulia.akishanyimwa hela na mabeberu anaweza akanyanyua mikono.
 
Hawezi, hivi wewe umewahi kumuona Amsterdam? Hilo dude ni uzushi wa Lissu! Amsterdam does not exist! Ukisoma maadiko mnayo danganywa ni ya Amsterdam, utaona yana mihemuko ya kilissu Lissu!
Uandishi ni wa kijazba/visasi visasi kilissu type.

Tupe dondoo ya utafiti uliofanya kufikia hitimisho kwamba “Amsterdam doesn’t exist!”

No research (investigation), no right to speak!
 
Pumbafu kabisa.akili za nyani hizi
ni aibu na fedheha kubwa lakin ndo ukweli wenyewe. sisi miafrika ni mijitu hovyo sana. tuna kila sababu ya kutawaliwa na mkoloni mweupe tena maana tukiachwa wenyeww mkoloni mweus atatuchinja kama ngedere.
 
Nadhani unawazungumzia wale wanaotamani SANA yatokee machafuko na kumwaga damu nchini ili wapate ushahidi wa kuvuruga nchi na kujichotea rasilimali zetu kama Kongo. Hujaifahamu akili mbovu ya Mzungu, wewe!
sasa si ni heri rasilimali zetu zichotwe tu na mzungu kuliko mwafrika mwenzetu atutawale kimabavu!! hiv kwel karne hii ya 21 bado mtu anawaza kutawala mtu kinguvu?!! dah!!..sisi miafrika jaman?!! yan tunawaza tumbo tu lijae tukanye kinyesi basi tumemaliza.
 
Unafahamu jinsi democracy inavyofanya kazi?

Unayemtaka wewe, wenzako hawamtaki na wanayemtaka wenzako, wewe humtaki. Utashi wa walio wengi ndiyo unakuwa utashi wa wote, ukiwemo wewe ambaye ulikuwa na utashi tofauti.
 
Before you rush to such a childish conclusion, zingatia nchi kama Kongo, Libya, etc. Don't be so naive!
 
Unafahamu jinsi democracy inavyofanya kazi?

Unayemtaka wewe, wenzako hawamtaki na wanayemtaka wenzako, wewe humtaki. Utashi wa walio wengi ndiyo unakuwa utashi wa wote, ukiwemo wewe ambaye ulikuwa na utashi tofauti.
Na demokrasia ya kweli lazima iwe ndani ya parameters za katiba, sheria, kanuni, miiko, maadili, maslahi na taratibu za nchi. Kitendo cha hao jamaa kujenga chama kinachoshinikizwa na kuamrishwa kutoka London & Washington, is nothing short of neo-colonialism. Period!

Najua hata kwa wao wenyewe ndani kwa ndani wanashangaa (they are actually shocked & horrified!) wakijiuliza kwa nini mgombea wa jinsi hiyo hata ameruhusiwa kuingia kwenye mchakato wowote wa uchaguzi. It can never ever happen in their own countries!!!
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
ICC ni sawa na kijiwe cha kahawa ndio maana hata Marekani hawaitambui hata huyo bensouda kapigwa ban kwenda Marekani.Huyo beberu njaa anamlia tu pesa huyo mshamba wa Ubeligiji, hata akina Uhuru na Ruto ambao waliua watu wao waliwashinda sembuse sisi ambao tumechagua viongozi wetu kwa demokrasia , wamekuwa kama Trump.
 
Wametusadia sana kuthibitisha malengo yako mabaya dhidi ya nchi, ambayo kimsingi tulitahadharishwa tangu mwanzo. The guy did not come to compete in order to win election; he came just to disrupt it.

His vitriolic words and unreserved actions are blatantly open & more than enough to prove it. Na hakuamini kabisa kilichomtokea ile baada ya raia kutambua madhumuni yake na kufanya uamuzi mzuri kwenye sanduku la kura; na pia kwa kutounga mkono maandamano batili.
 
Na demokrasia ya kweli lazima iwe ndani ya parameters za katiba, sheria, kanuni, miiko, maadili, maslahi na taratibu za nchi. Kitendo cha hao jamaa kujenga chama kinachoshinikizwa na kuamrishwa kutoka London & Washington, is nothing short of neo-colonialism....

Ni utamaduni wa ajabu sana!

Trump na washirika wake walijikuta kwenye supu ya moto baada ya kubainika kuchochea na kujinufaisha na interference ya Russia kwenye uchaguzi wa USA wa 2016, lakini sisi tunaona ni sawa tu kwa foreign actors kufanya ujinga huo kwenye nchi yetu!
 
Thankfully, njama zao zimeshindwa. This is why we want a president like JPM. Marais waoga na wasiokuwa na maamuzi thabiti ndio wamefanya nchi nyingi za Afrika zimekuwa maskini na wategemezi wa kudumu (almost kwa kila kitu), kwa sababu ya kushindwa kutetea uhuru wao kamili dhidi ya wakoloni. Bila uhuru kamili hakuna maendeleo.

Ndiyo maana nchi kama Kyuba iliamua kuikataa Marekani vyovyote vile, na walimaanisha na hawakujisalimisha hata chembe. I wish JPM angezidisha ukali dhidi yao hata mara mia! Halafu walivyo wanafiki hao jamaa, baada ya Castro kuwashinda mbinu, wakaanza kujikomba kwao na kutafuta urafiki. What!?
 
Back
Top Bottom