Mkuu,
Wewe ni MTanzania kweli?
Impostor ni nani katika nchi yetu na uthibitisho unao hadi unukuu mstari wenye neno hilo?
Maana fupi ya 'impostor' hii hapa:
"..An
impostor is a person who pretends to be somebody else, often through means of disguise. Their objective is usually to try to gain financial or social advantages through social engineering, but also often for purposes of espionage or law enforcement...."
Sasa, baada ya kipande hicho kwa kuwa hapa ndio jukwaa la kuweka kila kitu bayana, tafadhali tusaidie kumtaja huyo mtu anayeitwa impostor na uwe tayari kutoa ushahidi kama ulivyomnukuu huyo Robert Amsterdam mwenye kusambaza kitabu cha 'Empire of Deceit'
Peruse the link:
Who is Robert Amsterdam?