Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,434
- 4,673
Sana, weusi wengi tuna ubinafsi mno.Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Mtu anakuwa kiongozi kwa njia ya kuua na kutesa lakini anapongezwa na viongozi wa dini.
Sana, weusi wengi tuna ubinafsi mno.Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Tumekusikia jaji wa ICC.Hiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Nadhani atafile ushahidi wa video za mauaji na vipigo, siyo wizi wa kura.ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Miaka miwili mbele kuna mtu flani atakufa
Itawapa somo watu fulani. Wamuulize Uhuru Kenyetta.Hiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Hata hivyo hatuna haja na hela za mabeberu, wabaki nazo tu, sisi tutaprint za kwetu maisha yataendelea.
Bunge la ulaya limeshindwa kusolve corona tu, pumbavu kabisaBunge la Ulaya litasikia madhambi yenu nyinyi wacha mungu wanafiki
Hiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Fanya fasta kumshitaki huyu mhutu. Ripoti ya Umoja wa Mataifa ya hivi karibuni inaonesha Tanzania ni nchi isiyo na furaha duniani. Imeshika nafasi ya 147 kati ya nchi 154. Moja ya sababu ya nchi hii kuwa yenye huzuni ni kufiwa kwa demokrasia, wizi wa kura kupata watawala haramu, mauaji kwa wapinzani, hali ngumu ya maisha, nk. Yaani nchi ipo msibani. Mhutu na genge lake akajieleze ICC.Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Tanzania ni nchi huru tunapaswa kujiendesha na kufuata taratibu tulizojiwekea wasitubabaishe hawa wazungu DR Magufuli songa mbele
tunaishi kama manyaniWazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Duu watu wanapo jivua nguo wenyewe wazi kweupee.Mungu alijua hilo na ndio maana aliwapa hawa wenzetu uwezo ili watudhibi.
Ni WAPUMBAVU pekee wanaoona kuwa hiyo CCM haina maana,na ni WAJINGA NA WAPUMBAVU pekee wanaoona huu upinzani na wazungu kua ni bora kwenye aridhi yetu.Bwana Yule, kwa matendo yake, atatusaidia kuondokan na hili dubwasha linaloitwa sisiem.
Hiki ni kikundi cha watu hatari sana kinachoweza fanyia uhalifu wowote dhidi ya binadamu mradi kulinda madaraka waliyonayo. Ni lazima kidhibitiwe.
Mimi sikubaliani na Jiwe na CCM yake lakini pia sikubaliani na vikwazo.Manake vitawaingiza waliokuwemo na wasiokuwemo!Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Mkwara mbuzi!Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.