Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Hakuna kitu kama hicho. Na CHADEMA haitakuja kuingia ikulu kamwe. Mmejiroga wenyewe kuwa vibaraka wa mabeberu
Fanyeni haraka watu wapande kwa pirato, maana wahenga wanasema "Mchuzi wa mbowa hunywewa wa moto moto"
 
Hakuna kitu kama hicho. Na CHADEMA haitakuja kuingia ikulu kamwe. Mmejiroga wenyewe kuwa vibaraka wa mabeberu
Hata hivyo huwa hawana taimu ya Ikulu hawa jamaa; wanataka kupiga hela tu wakati wa kampeni kutembeza bakuli halafu na zileeeeeee posho & ruzuku. Ndiyo maana wanakurupuka deile, hawajiandaagi kwa ajili ya uchaguzi; mgombea wanamkwapua yeyote ilmradi awahakikishie watapata mapesa au kwamba kwenye majukwaa ataonesha umwamba wa kuporomosha matusi na kashfa. Nyerere alisema "Kuipatia CDM nchi ni kuichoka amani!"
 
ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu

Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Nani kasema ICC wanadeal Tu na "Massive" Crimes against Humanity. ICC wana wigo mpana Sana wa kuitight nchi yoyote ambayo either Mahakama/Vyombo vya ndani havitaki kuwashitaki wahalifu au havina uwezo wa kuwashitaki wahalifu kama ilivyo hapa kwetu.

ICC inaweza ikashitaki watu Kwa Political Repression grounds na grounds nyingine nyiingi sana, mazingira ambayo hapa kwetu tayari yameshakuwepo. So lolote linaweza tokea mana so far tuna vigezo vingi vya kufikishwa ICC.

Nadhani kufika au kutofika ICC kunategemea zaidi umahiri wa Wapeleka Kesi/Hoja ICC Ila viongozi wengi wa haya Manchi yetu wanaqualify kuburutwa ICC.

Sasa ukicombine power ya Lissu na Amsterdam kwenye masuala ya kisheria ni dhahiri kuwa this time around kuna watu wataburutwa ICC.

Kufikishwa Tu ICC hata kama hawatafungwa ni Ushindi tosha mana kuna watu wanajua hawagusiki "untouchables". So itatoa discipline fulani Kwa watendaji wetu wa serikali na itawasaidia wafanye kazi Kwa weledi na sio Kwa maelekezo hasi kutoka juu.
 
Kwa akili hizi hakuna sababu ya kujiuliza kwanini africans walifanywa watumwa na africans kuuza africans wenzao.

Yote sababu maslahi binafsi ya wananchi wa kiafrika.
Kama china ingekuwa na wananchi kama waafrika basi isingefika pale.
Kama mngefikiria future generations wala msinheshangilia haya.
Na ndio sababu hakuna mwafrika aloyegundua kitu kwa ajili ya wengine.
Na africans wanaamini serikali ndio ina hatia na Umasikini wao wakati kwa asilimia 80 ni ufahamu wao uliodumaa.
Mwafrika ni inferior kwa mzungu bila kujitambua.

Nilikuwa sahihi kusema africans ufahamu wao umedumaa.
Hii inazidi kuprove hilo.

Nimeandika kama mwafrika na sio kwa itikadi za kisiasa.
 
Sasa ukicombine power ya Lissu na Amsterdam kwenye masuala ya kisheria ni dhahiri kuwa this time around kuna watu wataburutwa ICC.
As long as Mabeberu hawana cha kugain kwenye kesi, in most cases ICC huwa haina meno. Ndio maana kuna midictator mingi tu inaua watu lakini hakuna kitu ICC wanafanya.

Libya, Misri, Yemen, Syria ni mifano michache. Mpaka Bashir wa Sudan anapinduliwa, ICC hawakuwa wamemfanya kitu na yule aliua maelfu ya watu huko Darfur.

Hiyo ‘power’ ya Lissu na ujuaji wa Amsterdam wa kwenye Twitter doen’t count at all na wala haitoshangaza ICC wakijiweka pembeni mapema sana.
 
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:

With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Huyu CHIZI bado yupo tu. Alidhani Tanzania ni sawa na nchi za Afrika Magharibi walikowashika ufahamu vijana. Vijana wa kitanzania wanajitambua sana.
 
Back
Top Bottom