Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Kuwa na file ICC inatosha kukuweka sawa maana ile ni reference chochote kikitokea wata refer back.
 
Anadai yupo mbioni kwenda kufungua kesi ICC na kuna watu wanashangilia.



Even elementary school children didn’t believe in Eric Cartman ‘ginger cow’ story.

Kama viongozi wenyewe wa Upinzani wana akili hizi bora CCM iendelee kutawala tu.
 
Wanapenda kujifariji bila kuwa na strategy zao wenyewe za short term na long-term wamebaki kuokoteza habari za taharuki
 
Miaka miwili mbele kuna mtu flani atakufa
We Jamaa utakua mchawi, mambo gani haya ya kuombeana kufa,
Sema hata hivyo hakuna atakayebaki hapa duniani wote tunapita tuu , ni suala la muda, muda wako ukifika hakuna namna utaondoka tu.
 
Wanatia huruma, it’s a tale of a trickster being tricked.

Amsterdam anawalaghai kama wao walivyozoea kuwaongopea wafuasi wao.
From CHADEMA ya kutafuta vijana chuo kuwajenga kuwa Viongozi wa badae to CHADEMA wanategemea kushinda kwajili ya Mwanasheria mwenye ofisi Washington na London... Kwaiyo sasa hivi kamati kuu ya CHADEMA itakua inaongea nini Bob Amsterdam anafanya kuhusu mipango yao. Shame!
 
CHADEMA ya vijana wa Chuo imeshakubalika kwa wananchi ila wenye uwezo wa kuamrisha wabeba silaha wafyatue risasi ndo wamebaki sasa kuinua Bunduki zao kuwalenga wale ambao Umma ni dhahiri umeshawakubali na upo tayari kuwapa ridhaa!.

Time will tell soon nchi itajua namna gani ya kudeal na Uhaini huu wa wazi dhidi ya maamuzi ya wananchi!
 
Anayempeleka ICC ni yupi na kwa Sheria gani?

Halafu bado anawaaminisha watu kuwa anaijua Sheria angali hata katiba ya Tanzania haijui.

Amuulize kibaraka wake wa Ubelgiji kuwa huko ICC anaenda kumshitaki Nani? Kama ni Mtanzania wa Kigoma Uvinza sawa Ila Kama ni jiwe hata akitoka madarakani Robert hawezi kumpeleka hata kituo Cha polisi Cha huko aliko.
 
Sasa impostor ni nani JPM au Ni yeye.
 
Ila naye asiongee sana, we are tired with all those sweet words without action!
 
Mbona mnajamba jamba mapema hivyo? Wacha kesi ifike huko ICC utajua nani anayeshitakiwa! Mauaji aliyoyafanya huko Pemba yanatosha kuitwa mauaji ya kimbari! Huwezi uka-target Wapemba tu tukakuacha salama! Jiandaeni siku ukisikia Fatou Bensouda yuko hapa ujue jiwe amenasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…