Robert Amsterdam unayaona yanayotekea Marekani?

Robert Amsterdam unayaona yanayotekea Marekani?

Unachelewa wewe ni kuwa,ukiiba na mwenzio naye akaiba,basi ukishtakiwa peke yako unakuwa hujaiba,mpaka na mwizi mwenzio naye ashtakiwe.
Kwa maana rahisi ni kwamba:Unakamatwa na kosa halafu unajitetea kwa kumtaja mkosaji mwenzio?!!!

Hahahahaha........Hajui kuwa huenda Kuna Wana harakati wameshalaani na kuandaa mashtaka kwa wahusika wa makosa hayo,huko USA.
 
Wamarekani wao hawataki madikteta,ndiyo maana walimkataa D/Trump kwenye sanduku la kura,sisi je?
 
Wamerekani waligundua wameingia chaka ,walimkabidhi Nchi mshamba Trump ndio maana ya hayo yote hakujawi kutokea ujinga kama huo USA.
 
Kwani Robert Amsterdam kaajiriwa na Wamarekani kuhusu uchaguzi wao?
 
Muda mwingi tunasifia mifumo ya uongozi ya wenzetu pamoja na viongozi wao ila kiukweli hivyo vitu ili viwezi kupatikana na kuweza kuendelea kuwepo inategemea na aina ya jamii husika ilivyo.
 
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
 
Huyo Jamaa Robert Amsterdam nilianza Kumuona si tu Mpuuzi bali pia ni Mnafiki zamani sana ninashangaa baadhi yenu leo ndiyo mnamuelewa.
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
 
Kuna Watu mnashangilia ya Marekani lakini bado tuna tofauti kubwa sana, kwa mfano Trump na ulafi wake wote hawezi kuamu Biden akamatwe.
 
Donald Trump si dikteta bali ni jambazi la kisiasa, off course is a businessman that sums up all.

Hii ni conspiracy ya kutaka kupindua matokeo yalokwishatoa mshindi ambae ni Joe Biden.

Demokrasia ya wamerekani ipo exposed in the open.

Trimp si dikteta anafahamu anachokifanya akiwa na genge lake lote wamo wa white house, vyombo vya ulinzi na usalama na makundi mengine mazito.

Bila kuisahau serikali kivuli au invincible government.

Unawajua madikteta wewe?? Au unajambajamba na broken zako??
 
Robert Amsterdam kwenye baadhi ya clip zake alikuwa anataka kuwepo na machafuko nchini Tanzania ili nchi isitawalike...hovyo kabisa huyo beberu Amsterdam...hovyo kabisa...
 
huku ukiendelea kushangaa hayo shangaa pia Rais aliyeko "madarakani kuhangaika na kugonga mwamba kwa juhudi zake za kupindua meza".Je ingekua Tanzania/Africa wamewahi ona Rais aliyeko madarakani anahangaika namna ya kutumia Vyombo vya Dola kuiba kura? Shangaa jinsi wenzetu walivyo na taasisi imara ndio maana wafuasi wa trump wanahangaika.Ingekua kwetu vyombo vya ulinzi na usalama vingekua vipo upande wa Trump.
Mkuu malawi ipo Asia mbona raisi alikuwa madarakani na katumia mbinu lakini akatolewa
 
Huyo Robert alikuwa gost, akina tundu lissu walikuwa wanatumia jina Kama cover up na intimidation kwa CCM, lakini hawakuwa na lolote.
 
This is a great learning opportunity for the United States!

Natumaini wataelewa kwanini nchi zingine zinapiga vita uchochezi before it’s too late. Uchochezi is too dangerous to be entertained. Kuna watu ni adults, lakini hawana mental independence kabisa.

Wanachokisikia kutoka kwa mchochezi waliyemuamini ndiyo hicho watakachokifanyia kazi, mara nyingi bila hata punje ya deviation. Kauli za mchochezi ndiyo msahafu wao; no question asked!
 
Robert Amsterdam kwenye baadhi ya clip zake alikuwa anataka kuwepo na machafuko nchini Tanzania ili nchi isitawalike...hovyo kabisa huyo beberu Amsterdam...hovyo kabisa...
Mimi nilisema toka mwanzo kwamba Amsterdam anamharibia Lissu. Lakini kwakuwa Lissu mwenyewe ni mbumbumbu wa siasa akawa anakenua tu meno huku Amsterdam akiendelea kuharibu
 
Zimepangwa njama au kwa kiingereza "conspiracy" kujaribu kupindua matokeo na kumzuia Joe Biden asipitishwe na senate kuwa raisi halali.

Serikali kivuli yahusika.

Marekani na "full machinery" zake zote za kijasusi na usalama haiwezekani kusinuswe kaharufu ka hizo njama.

Sasa mengine hapo jiongeze kidogo.
Marekani sio kweli machineries ziko efficient wakati mwingine ni bogus Nation.
Hadi Trump anagombea uraisi na kamshinda Hillary Clinton, Mrusi alikuwa amehujumu uchaguzi mkuu huo kwa kudukuu ,kupandikiza na kusambaza taarifa fake.
Hata palevyombo vyote vya usalama wa taifa vilikiri kuhujumiwa na kishoka,lakini vilishindwa kuchukua hatua thabiti.
Waliishia kulaani na kumwekea vikwazo tu.
Hata hivyo mtu wao aliyepandikizwa na Urusi yaani Don the con aka Trump amefanya kazi yake aliotumwa na Raisi Putin ya kuangamiza taifa hilo hadi kulinganishwa na kufanana na banana Republic.
Jasusi Putin amelipa kisasi cha Marekani kusambaratisha dola ya Soviet .
 
Back
Top Bottom