Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Vyama vinavyojiita upinzani Tanzania sio vyama vya siasa ila ni kampuni za watuUdaku tu huo Maalim Seif na Zitto waliotengeneza huo udaku sasa wanakula kuku kwa mrija wewe baki huko huko tu.
Huna hoja endelea tu kupovuka, na Mtaalam amsterdam ndio kashafanya yake.Wewe ulisikia wapi mwanaume mwenye mji wake anakwenda kumpangia jirani yake vile anatakiwa kuishi na familia yake
Huyu amstadam boya sana
Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:
Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!
Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:
All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Waliouliwa ndugu zao kule tunduma na njombe wako kimya wakifuatilia kesi vyombo husika. Wewe unawaongelea wepi
Huna hoja endelea tu kupovuka, na Mtaalam amsterdam ndio kashafanya yake.
Mambo yanaenda yakiongezwa si ulisema kivulini wakijipongeza na Noeli? Kumbe hawa wa Noeli ni wale mabwana mabegi ya kura peke yao?
Umesomeka dada.
Kumbe bwana Amsterdam na atambue kuna kina sisi waa kutosha tunaosubiria kwa hamu watesi wetu yanapowakuta yale waliyotufanyia sisi.
Wala hatuombi zaidi.
Nasema uongo ndugu zangu?
Woyooooooooooooo!!! I think im big meech ,Larry Hoover!! Halleluyah!!Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:
Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!
Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:
All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Eti "Our chosen one", wewe na nani? Na mmeo?[emoji3]Sasa ndio umeandika nini
Sisi we love Joni buana, hao wengine hatujawazoea, Joni is our chosen one
View attachment 1659126
UKAWA 😂😂😂😂😂😂Udaku tu huo Maalim Seif na Zitto waliotengeneza huo udaku sasa wanakula kuku kwa mrija wewe baki huko huko tu. Muone na huyo Shangazi yenu anavyoumia sasa.View attachment 1659124
Hahaha ndio Mimi mume wangu, watoto wangu na wale 83% we love JoniEti "Our chosen one", wewe na nani? Na mmeo?[emoji3]
Kila la kheri amsterdam, mungu akuongoze ushinde hii vita
Acha mihemko wewe, Lissu bado yupo hai,Amsterdam nae anaendelea na kazi aliyotumwa na mungu.Hivi wewe unafikiri Mungu angetaka Tundu awe rais ingeshindikana??
Mungu alishamkataa Tundu, tena alimtapika mapemaaa sababu alijua angliuza taifa utumwani
Mpe pole amstadam mwambie Tanzania ni ya Watanzania
Maria hakufungua kesi alituma ushahidi kilichotokea TZ..mjipange kwelikweli jamaa wanafunga maishaHahahahahahahahah! Bahati mbaya mnatupaGA updates za kufaili kesi lakini updates za kinachoendelea baada ya hapo hamtuambii. Mkumbushe Maria Tsehai atutaarifu kesi yake naye imefikia wapi! Ahahahahahah!!!
Mama D hongera sana, unasimamia na uhalisia wa Jamii inataka nini?Hivi wewe unafikiri Mungu angetaka Tundu awe rais ingeshindikana??
Mungu alishamkataa Tundu, tena alimtapika mapemaaa sababu alijua angliuza taifa utumwani
Mpe pole amstadam mwambie Tanzania ni ya Watanzania
All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Mama D hongera sana, unasimamia na uhalisia wa Jamii inataka nini?
Hongera watu wa Kilimanjaro hawako tayari uwapande dada na wanaume huku wa kiongozi. .
Tujaribu kuangalia kesho, leo tumeshindwa.
Mungu yupi unamzungumzia...acha kufuru na dini za watu..jamaa yenu kaiba kwa mtutu wa bunduki kura...na sisi tunaacha kuspend nchi inaenda kumfia ..waulize wafanya biashara xmass hii kama wamepiga helaHivi wewe unafikiri Mungu angetaka Tundu awe rais ingeshindikana??
Mungu alishamkataa Tundu, tena alimtapika mapemaaa sababu alijua angliuza taifa utumwani
Mpe pole amstadam mwambie Tanzania ni ya Watanzania