Robert Amsterdam: We filed today at ICC!! More to come

Kuna watu wana tumia I'D nyingi sana ila tofauti ila emails address ni hizo hizo.

jf administrators, with time this issue must be given a due consideration. Member deserves more than facing stupid ID and more of the likes.
 
Udaku tu huo Maalim Seif na Zitto waliotengeneza huo udaku sasa wanakula kuku kwa mrija wewe baki huko huko tu.
Vyama vinavyojiita upinzani Tanzania sio vyama vya siasa ila ni kampuni za watu
 
Ccm na SERIKALI yao watajuta
Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:

Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!

Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:

All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
 
Waliouliwa ndugu zao kule tunduma na njombe wako kimya wakifuatilia kesi vyombo husika. Wewe unawaongelea wepi

Mambo yanaenda yakiongezwa si ulisema kivulini wakijipongeza na Noeli? Kumbe hawa wa Noeli ni wale mabwana mabegi ya kura peke yao?

Umesomeka dada.

Kumbe bwana Amsterdam na atambue kuna kina sisi waa kutosha tunaosubiria kwa hamu watesi wetu yanapowakuta yale waliyotufanyia sisi.

Wala hatuombi zaidi.

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Huna hoja endelea tu kupovuka, na Mtaalam amsterdam ndio kashafanya yake.

Mambo yanaenda yakiongezwa si ulisema kivulini wakijipongeza na Noeli? Kumbe hawa wa Noeli ni wale mabwana mabegi ya kura peke yao?

Umesomeka dada.

Kumbe bwana Amsterdam na atambue kuna kina sisi waa kutosha tunaosubiria kwa hamu watesi wetu yanapowakuta yale waliyotufanyia sisi.

Wala hatuombi zaidi.

Nasema uongo ndugu zangu?

Sasa ndio umeandika nini
Sisi we love Joni buana, hao wengine hatujawazoea, Joni is our chosen one

Hivi huyo amsterdam ndo amekuwa Fatou Besuda, maana sijawahi kumsikia akigusia lolote kuhusu Tanzania.
 
Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:

Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!

Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:

All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Woyooooooooooooo!!! I think im big meech ,Larry Hoover!! Halleluyah!!
 
Kila la kheri amsterdam, mungu akuongoze ushinde hii vita
 
Hivi wewe unafikiri Mungu angetaka Tundu awe rais ingeshindikana??
Mungu alishamkataa Tundu, tena alimtapika mapemaaa sababu alijua angliuza taifa utumwani
Mpe pole amstadam mwambie Tanzania ni ya Watanzania
 
Acha mihemko wewe, Lissu bado yupo hai,Amsterdam nae anaendelea na kazi aliyotumwa na mungu.
 
Hahahahahahahahah! Bahati mbaya mnatupaGA updates za kufaili kesi lakini updates za kinachoendelea baada ya hapo hamtuambii. Mkumbushe Maria Tsehai atutaarifu kesi yake naye imefikia wapi! Ahahahahahah!!!
Maria hakufungua kesi alituma ushahidi kilichotokea TZ..mjipange kwelikweli jamaa wanafunga maisha
 
Hivi wewe unafikiri Mungu angetaka Tundu awe rais ingeshindikana??
Mungu alishamkataa Tundu, tena alimtapika mapemaaa sababu alijua angliuza taifa utumwani
Mpe pole amstadam mwambie Tanzania ni ya Watanzania
Mama D hongera sana, unasimamia na uhalisia wa Jamii inataka nini?
Hongera watu wa Kilimanjaro hawako tayari uwapande dada na wanaume huku wa kiongozi. .

Tujaribu kuangalia kesho, leo tumeshindwa.
 
All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!

Kwa Nini Tundu Lissu tu? Hivi ICC ipo ili TL see Rais wa Tanzania?
RA na TL wanafeli sana hapa.
Kama lengo ni democracy Basi wananchi ndio wataamua Nani awe Rais wao sio shinikizo kuwa lazima awe TL
[/QUOTE]

Hapo ndipo niliposhangaa,kumbe hizi kelele zao zote ni kwasababu kina Amsterdam wameshatuamulia nani awe our rightful leader?
 
41BADB2B-B496-413E-8E6E-3A46832058D8.jpeg
 
Mama D hongera sana, unasimamia na uhalisia wa Jamii inataka nini?
Hongera watu wa Kilimanjaro hawako tayari uwapande dada na wanaume huku wa kiongozi. .

Tujaribu kuangalia kesho, leo tumeshindwa.

Kweli mkuu
 
Hivi wewe unafikiri Mungu angetaka Tundu awe rais ingeshindikana??
Mungu alishamkataa Tundu, tena alimtapika mapemaaa sababu alijua angliuza taifa utumwani
Mpe pole amstadam mwambie Tanzania ni ya Watanzania
Mungu yupi unamzungumzia...acha kufuru na dini za watu..jamaa yenu kaiba kwa mtutu wa bunduki kura...na sisi tunaacha kuspend nchi inaenda kumfia ..waulize wafanya biashara xmass hii kama wamepiga hela
 
Back
Top Bottom