Robert De Niro amepata mtoto wake wa saba akiwa na umri wa miaka 79

Robert De Niro amepata mtoto wake wa saba akiwa na umri wa miaka 79

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1683711947755.png

Robert De Niro ni mwenye asili ya Italia ingawa alizaliwa katika kitongoji cha Manhattan, New York City. alizalwa mwaka 1943.

Kwa sasa anafanya shughuli zake uigizaji Hollywood nchini Marekani. Moja ya sinema alizocheza na kuapata umaarufu mkubwa inaitwa Casino iliyotoka mwaka 1995.
 
Mwanaume hata akiwa miaka 100 anatungisha mimba, Ila mwanamke kuanzia miaka 35 anaanza kuzitafuta siku zake je bado zipo au ndio zishapotea na akifikisha 45-50 mwisho 56 ndio kwaheri hapati mtoto hata wa kulumagia,
Wewe kuna Mungu na sayansi, mama wa miaka 70 anaingika labour na mtoto ametungwa kwenye petry dish.
 
Wewe kuna Mungu na sayansi, mama wa miaka 70 anaingika labour na mtoto ametungwa kwenye petry dish.
Sasa hio sayansi ya sasa Mimi nazungumzia ya Mungu uwezo wa mwanamke mwisho ukomo ni 56 mayai yamekauka kaukau hayatoki tena kwenye mirija, Ila mwanaume hata akiwa 120 kitu imo mbegu zinafanya kazi
 
Mbona mnakataa asee hata kama akipata mtoto huyo mtoto hatokuwa na afya kabisa,,,,,

Nina mifano hai 9 ya suala hilo 😁😁😁
Hii ya kutokuwa na afya ni kwa hzi nchi zetu na hta mifano uliyonayo nafikiri ni hukuhuku uswekweni
 
Wewe kuna Mungu na sayansi, mama wa miaka 70 anaingika labour na mtoto ametungwa kwenye petry dish.
Hapa sasa unaongelea mazingaombwe. Watu tunaongelea uhalisia. Ukiweka wanawake 100 wenye miaka 70 hapa na wanaume 100 wenye miaka 70.

Kila. Kundi lipewe vijana wa kuwapa ujauzito. Wanawake 100 wapewe vijana active wa miaka isiyozidi 30 na hawa wamaume 100 wapewe mabinti 100 wasiozidi umri wa miaka 25 kupeana mimba, baada ya wiki hawa mabinti kuna uwezekano mkubwa sana wote wakawa wanatema mate.

Wale wabibi wa miaka 70 hakuna hata m'moja hapo atatema mate labda ya ugoro.
 
Safi sanaaaa.....

Kama una kizazi....una "maisha bora" kwa nini "usiongeze watoto"?!!!!

Hongera zake mwamba....

Uzee ni pale usipoweza kushiriki tendo la ndoa kutokana na umri ama ukiwa apeche lofa [emoji1787]
 
Back
Top Bottom