Robert Heriel ameishiwa mawazo. Mufilisi kabisa. Siasa huziwezi

Huyu jamaa tangu aanze kuandika habari za maandamano ni dhahiri shahiri kuwa hata mke wake kampanda kichwani ukiachilia mbali kiakili hawatofautiana na yeriko nyerere yaani ni empty set ni wazee wa kukopi na kupest na kisha kuongeza utoko mwingine kwenye maandiko yao
 

Leo mwawasema. Heeeh! Shishsshii! Na bado
 

 
Robert Heriel Mtibeli
 
kwani, mke wake bado hajamnyang'anya simu kweli?.
 
Duh wamatumbi kwa kujadili watu mpo vizuri , huu ni aina ya ukilaza wa mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…