Hahahahahaha Jf ..,,This Trap may catch a rat ππππππSalaamu wana MMU...
Binafsi napendekeza hawa members wawe couples kwa mwaka 2024 kama walivo wale wengine (siwataji mnawajua)......hii ni kutokana na uandishi na style yao ya uandishi..
Usisahau kutaja members unaona bado wana matching kuwa pamoja kutokana na miandiko yao kulandana ideas na styles.
TraitorMaghayo inabidi afungishwe ndoa ya kiislamu, masjid Al axa pale Palestine.
Kuna dada mmoja mPalestine anatafuta ndoa.
Mangoma bampa to bampaWajomba tunataka kushirikishwa, ama sivyo tutachacha.
"Wajomba wamechachaa wamekuja juu harusinii
Wapi maharii, mbona sisi hatujapataa?
Mwali hatokii mpaka sisi tukubalii
Pozeni yakinii, wajomba hatuna radhi nayeee"
Mbaraka Mwinshehe "Wajomba Wamechacha"
View: https://youtu.be/9cXNeJtZ6zM?si=C-YMDzCTUgEdzQHL
Sitii neno mkuu4-4-2 fulani.....ππ