Kuna mPalestina yupo hapo Kariakoo ana hizo sifa shida lazima ubadili dini, ni mzuri balaa..Naweka wazi kabisa wanawake naowapenda nakunivutia ni wanene na makalio makubwa.
Arifu home boy utamuweza huyu mtoto wa kimakonde toka ntwara π π π huyu hapa chini Leejay49 πππWe ni kuwadi? Kipikipiki posta?
Chalii ya chuga iyo hapo juuπππ.....π π πNgoja nikusaidie Kuwaita Donatila Robert Heriel Mtibeli
Kama FaizaFoxy πππππππ au ye mwenye mikucha ya bandia na kiwigi kama cha mwehu?!Naweka wazi kabisa wanawake naowapenda nakunivutia ni wanene na makalio makubwa.
. ataweza ndoa za Mitala huyo Mlokole DonatilaNgoja nikusaidie Kuwaita Donatila Robert Heriel Mtibeli
Huyo apewe cocastic au BICHWA KOMWE - ila kuhusu Donatila Kusema aolewe na huyo tapeli mtunzi wa hadithi za uongo unamuonea Dada yetu. Dada yetu ni mstaarabu sana na hatakiwi wala hatakubali kuolewa use wenza kwani huyo Robert Heriel Mtibeli ana mke Binti yetu kimoso japo kama mwazee wa ukoo wa Kimoso tunamwambia afunge ndoa na binti yetu anatupiga chenga. ππππππItakuwa jambo la busara Maghayo The Mongo Barbarian akatafutiwa na yeye Couple apumzike matumizi ya bange..
Huyo apewe cocastic au BICHWA KOMWE - ila kuhusu Donatila Kusema aolewe na huyo tapeli mtunzi wa hadithi za uongo unamuonea Dada yetu. Dada yetu ni mstaarabu sana na hatakiwi wala hatakubali kuolewa use wenza kwani huyo Robert Heriel Mtibeli ana mke Binti yetu kimoso japo kama mwazee wa ukoo wa Kimoso tunamwambia afunge ndoa na binti yetu anatupiga chenga. ππππππ
ππ, ipo mkuu, Ngoja niiangalie...Ipi hiyo.. em nenda unitag nioneπ
Kumbe BICHWA KOMWE - ni pisi Kali ? nilidhani dume , basi combination yake na Maghayo itanoga sana..Huyo apewe cocastic au BICHWA KOMWE - ila kuhusu Donatila Kusema aolewe na huyo tapeli mtunzi wa hadithi za uongo unamuonea Dada yetu. Dada yetu ni mstaarabu sana na hatakiwi wala hatakubali kuolewa use wenza kwani huyo Robert Heriel Mtibeli ana mke Binti yetu kimoso japo kama mwazee wa ukoo wa Kimoso tunamwambia afunge ndoa na binti yetu anatupiga chenga. ππππππ
Hapana, huyo sijui robati anaendana na dada maua.Ngoja nikusaidie Kuwaita Donatila Robert Heriel Mtibeli