Love tupo laivu...π
πππulisema una watoto wengi ivo nami lazima niongeze Idadi naweπ€Love tupo laivu...π
ππππWe ni kuwadi? Kipikipiki posta?
Sina mtoto beb, achana na maneno ya mwa J mbwa yule aliniambukiza uti grade one π€¨πππulisema una watoto wengi ivo nami lazima niongeze Idadi naweπ€
π€£π€£π€£π€£mbavu zanguuππ€Sina mtoto beb, achana na maneno ya mwa J mbwa yule aliniambukiza uti grade one π€¨
Kwani We unajua mi ni ke au Me? π namaanisha Donatila si ni fake ID au verifiedβ¦?Mwanaume anaitwa Donatila!!
Kutakuwa na namna au hujachakata taarifa kwa haraka ππ
Au ndo sura halisi??ntaitoaaa
Umeoa kwetu??Bila shaka unaijua kapo yangu na mwa J mbwa yule π
Mi ke, Tena mtoto muzuri mamaaa...Mi najuaga Dona ni mwanaume. π
UmeolewaMi ke, Tena mtoto muzuri mamaaa...
π€£π€£π€£ Nitakutoa pepo la ndoa za mitara...
Ebu tuwekee kapicha tufanye maamuzi magumuMi ke, Tena mtoto muzuri mamaaa...
Ohh safi sana! Now i know⦠Sasa umfikirie mtibeli tupate wifi wa JF .Mi ke, Tena mtoto muzuri mamaaa...
Mtu yeypte akifikisha miaka 18+ hutakiwi kumuuliza ana mpenzi; kwa uzoefu, huyo lazima atakuwa na wakumfarijiUmeolewa
Hapana mkuu.. Uke wenza siwezi kujaribu πWewe utaweza.
Nitangaze Rasmi
Hapana mkuu.. Uke wenza siwezi kujaribu π
Weee sema kweli πππ... Tatizo raraa reree ni robot angekua mtu ingekua poa sanaβΊοΈβΊοΈraraa reree na Leejay49 hawa nadhani wanaendana pia.