Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Natamani Tundu Lissu arudi aungane na Kibatala..tuone huyo Kidando wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpige kibogaBila maelezo yakuwa ameshinda kesi gani kubwa unakuwa ubwabwajaji tuu!!
Akishinda hii kesi nawapiga soda member wote humu!
Mtoamada je, akishindwa nikupige nin?
Vipi mkuu?Anashinda kwa huo usomi wake, au kwa kubebwa na maamuzi ya hangaya kupitia huyo Jaji wa mchongo?
Mawakili wote ni sehemu ya mahakama /court officers hata wa uteteziHuyu fala sio ndio alisema wao mawakili wa serikali ni sehemu ya mahakama watu wapende wasipende ukweli ndio huo?!
Kuna siku atajutia kiburi chake cha kiuwendawazimu
Vipi mkuu?
Si mnapumua nyie baada ya kubanw sana na jiwe?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Nchi iko safi sana haijaoza kama unavyo dai.Hawana namna nchi imeoza
Wakili yeyote ni sehemu ya mahakama, ni afisa wa mahakama.Huyu fala sio ndio alisema wao mawakili wa serikali ni sehemu ya mahakama watu wapende wasipende ukweli ndio huo?!
Kuna siku atajutia kiburi chake cha kiuwendawazimu
Ungekua na hoja ungeleta kesi alizowahi kushinda ili kuthibitisha usemacho. Kinyume chake umeleta mapambio ya Lumumba, rubishRobert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Chozi lolote linalomwagika Kwa haki....mungu hulipa[emoji22]Hakuna mtawala kandamizi aliyewah kuishi maisha salama! Mungu ana maana yake kuleta yote haya! ilikuwepo dola ya warumi (Roman Empire) na ikaanguka!
Bahati mbaya tuna viongozi ambao kula kuku la broiler ni sifa kuliko kula kuku wa kienyeji! ipo siku
Kwahiyo kwa uelewa wako unafikiri babaako ndio ana uwelewa tu? Kama unaamini hivyo, basi utakuwa MTU wa hivyo kabisa!!!Anashinda kwa huo usomi wake, au kwa kubebwa na maamuzi ya hangaya kupitia huyo Jaji wa mchongo?
Tuliwambia kesi siyo porojo za mitandaoni,Mimi napumua vizuri tu Mkuu! Na Jiwe litabakia tu kuwa Jiwe! Yaani sina shida yoyote ile kwa kweli kwa sasa. Watoto wanasoma, kazi inaendelea! Ninaishi kwangu! Nina kabiashara ka kuniingizia vijisent nje ya mshahara! Mungu anipe nini!
Ila natamani sana kuiona Tanzania ambayo wananchi wake wanaishi maisha ya amani, umoja, upendo na mshikamano! Huku wananchi woye tukitanguliza maslahi ya Taifa kwanza, badala ya mtu au chama.
I hope one day yes. Kwa sasa hali ni mbaya. CCM wanajiona wana haki ya kufanya chochote! Huku wapinzani wakiona wanaonewa kwa kika kitu, na wananyimwa hiyo haki! Jambo hili siyo zuri hata kidogo. Maana linayengenza mgawanyiko usio wa lazima.
Mungu siyo amsterdamChozi lolote linalomwagika Kwa haki....mungu hulipa[emoji22]
Ipo siku mtatuambia mnataka kutaka rufaa kwa shetani kwamba huku duniani mnaangukia pua.tukutane mahakama ya rufaa, viwanja hivyo ni viwanja 'jopo' la wabobez wa sheria, hakuna cha vilaza vilaza kama kidando au tiganga……….
Machiavelli to distinguish correct from false charges, and the appellate