Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hii kesi si ya serikali kutafuta ushindi. Ikileta ushindani itaonea watum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

https://www.latinamericanstudies.org › ...
Operation Condor - LatinAmericanStudies.org
Operation Condor was an intelligence organization in which multinational teams tracked down dissidents outside their home countries, captured and
Ata Dr. Kibatala alimzaa Peter, madaktari walizaa wanasheria.Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Kwahiyo kwa uelewa wako unafikiri babaako ndio ana uwelewa tu? Kama unaamini hivyo, basi utakuwa MTU wa hivyo kabisa!!!
TakatakaRobert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Siasa inapoingia kwenye fani hayo ndio madhara yakesikuhizi mnafnya kampeni hadi kwenye kuteuliwa kuwa Majaji?!!
unamuharibia mwenzio, wacha achape kazi aliyo ajiriwa nayo, hayo mengine ni Mpango ya Mungu akipenda.
Mungu pia anaangalia haki eti, kwani si kwel hata kama hamna ushaidi wa kutosha Mbowe alikuwa anataka kuchukua amani ya nchi yetu, no kwel kabisa alikuwa anavurugana na Sabaya hata mungu mwenyewe anajua hilo,HUyu wakili wa serikali kama ni kupanga list basi hata namba 6 hapati katika lile jopo la mawakili wa utetezi.
Kesi imebebwa na mihemko ya maelekezo ya kisiasa yaani ni full "upangaji bin michongo."
Ila Mkono wa Mwenyezi Mungu ni mrefu na unafanya kazi haraka sana udhulumati huu utajibiwa na Mola inshAllah
Hamna kitu. Hajawahi kushindwa kesi zipi? Hiz za Mahakama za Tanzania ambazo zinatengenezewa hukumu na watawala? Si aende upande wa pili atetee watu dhidi ya watawala tuone umahiri wake.Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Jidanganye tu.USHAHIDID UKO WAZI MBOWE ANAFUNGWA MKIAMBIWA CHUTAMENI MNATAKA KESI MPAKA IISHE MWISHONI NDIYO LISSU ANAANZA KUBEMBELEZA KESI IFUTWE MBONA MWANZO MLIKUWA MNASEMA MPAKA MWISHO ?
Jidanganye tu.USHAHIDID UKO WAZI MBOWE ANAFUNGWA MKIAMBIWA CHUTAMENI MNATAKA KESI MPAKA IISHE MWISHONI NDIYO LISSU ANAANZA KUBEMBELEZA KESI IFUTWE MBONA MWANZO MLIKUWA MNASEMA MPAKA MWISHO ?
Kwa KUBEBWA NA MAHAKAMARobert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Mtashinda hapa duniani kwakua Dola ni yenu na mnaamini mnanguvu zakutosha ila mbele ya Mungu muumba atawalipa kwa wakatiRobert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Sio lazima, labda utabiri tuRobert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Hii nayo kesi..hata wewe kilaza ungepewa kwa maelekezo ya mchongo ungeshinda tuRobert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Kila la kheri kwakeRobert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.