Tetesi: Robert Mugabe aanza rudisha mashamba kwa wazungu

Tetesi: Robert Mugabe aanza rudisha mashamba kwa wazungu

waafrika wanafikiri shambani ni kwa kwenda kula barbecue na kupiga selfies. acha ayarudishe wenye discipline wapige kazi.
 
Kila mmoja hutoka kwa muda wake. Angalia mishenzi kama sadam, gadafi, Samwel Do, n.k. Ilitoka siku moja? Kila nchi na kikombe chao. Kinapofurika, ndipo hapo. Siku ya kikombe cha waganda kufurika, utaona ya mseveni. Siku ya kikombe cha Tanzania kufurika, utaona ya ccm, mugabe n.k, Ukombozi hauji siku moja kwa mara moja mahala pote.

Hakuna akili kamilifu inaweza kukimbilia kwenye chuki badala ya kuongelea hoja. Ninaona tatizo,

Ushenzi wa sadam ni nini kwa mfano?
 
Libya ni ushenzi wa Gadafi kung'ang'ania madaraka na wala hakuna uchawi. Hivi kama angelikuwa anatawala Libya kwa ajili ya wananchi, ni kwa nini hakukubali kufanya demokrasia? Kama angelikubali kuongoza nchi kwa utashi wa wananchi wake, kwa maana ya kufanya uchaguzi wananchi wachague raisi wanayemtaka kwa wakati walipotaka, nayeye akabaki na heshima ya uraisi mstaafu akishuhudia na kushauri mwendelezo wa Libya, yangemkuta yaliyomfika? Walibya Wangeuana? Alidhani ataishi milele? Lazima kufa angelikufa kwa namna yoyote. Je baada ya kufa kwake, Waliby awasingegombana kama ilivyoleo? Kiongozi mzuri ni yule anayetawala na kuliangalia taifa kwa vizazi vijavyo na hivyo kuandaa mfumo sahihi wa maendeleo ya uma na si yale ya faimilia au kundi dogo analotaka yeye kinyume na wenye nchi.

Ni ujinga wa viongozi kudhani uraisi ni utemi.

Mugabe alipashwa kuzijua hizo hesabu kabla hajatwanga maji. . Mugabe siyo Zimbabwe. Kama maamuzi yake yalikuw ani kwa ajili ya Wazimbabwe, kwa nini kung'anng'ani madaraka na kuua watu kwa sana eti wanampiga?

Leo hii Zanzibar watu wakianza kufa na njaa mtalaumu Wazungu? Kila maamuzi yanagharama. Zingatia uwezo wa kufika bei kabla hujatoa order. Makeke bila nguvu ni upumbavu na fedheha!. Sasa yako wapi?

Zilikuwapo njia nyingi sana za kufanya uchumi shirikishi Zimbabwe ambazo kila upande ungenufaika na hatimaye kujenga uwezo mkubwa kwa wazawa zaidi ya ubabe wa kijinga ambao haujalipeleka taifa mahala popote. Na ndiyo sababu haka kazee hakataki kuachia nchi kwa hofu ya hasira za Wazimbabwe kalikowaua kwa kisingizio cha kuwalinda.
kama wewe ni wa kizazi cha digital nakushauri kafanye utafiti kidogo kuhusu ukoloni ulianzaje na uliishaje na jinsi nchi za afrika zilivyopigania UHURU itakusaidia kujua.

Tukirudi kwenye mada nchi kama LIBYA wazungu walikuwa hawanufaiki nayo kwasababu walikuwa wanajitosheleza kwa kilakitu na zaidi GADDAFI akataka kuiunganisha AFRIKA jambo ambalo lilishashindwa huko nyuma kwasababu waafrika ni wabinafsi.
GADDAFI alijaribu kuwafanya waarabu wanaozalisha mafuta waungane ili wawe na sauti akasahau kuwa kuna vibaraka wa wazungu hata uarabuni ndio akaja na wazo hilo AFRIKA akiwa na maana nchi moja moja bila kujiunga tukaunganisha rasilimali tulizonazo haziwezi kujikomboa.
Tulitakiwa tuunganishe nguvu tuwe kitu kimoja,uchumi wa nchi zilizoendelea unahitaji sana rasilimali zilizopo afrika ambapo wanazichukua kwa bei ya kutupa kupitia sera zao wanazotulazimishia kama ubinafsishaji,uwekezaji n,k lakini tungejiunga tungejikuta kwanza tunajitosheleza wenyewe kwamba kuna nchi zina njaa wakati zingine mazao yanaozea shambani,tungeanzisha viwanda kwa kutegemea malighafi zinazopatikana hapahapa AFRIKA,vitu ambavyo hatuna kwa umoja wetu tungevipata hata kwa kuagiza toka nje ya afrika au kuleta wataalamu wakatengeneza hapahapa.

lakini haya yote yanashindikana kwasababu kwa kutumia demokrasia wazungu wanaamua nani wamuweke madarakani atakayewahakikishia maslahi yao hayatatetereka na anayeenda kinyume nao kwa vyovyote vile watamtoa.yapo mambo mengi sana ya kuyatafakari ambayo lazima tufikirishe akili zetu ili kuelewa kwanini wazungu hawakumtaka GADDAFI wala hawamtaki MUGABE.
 
Unachojaribu ku kipropagate hapa unakielewa?

Huyo Mugabe na Gadafi wazungu hawawataki, wananchi wa nchi zao wanawataka?

Unaweza kuweka hapa uzuri na ubaya wa utawala wa kifalme dhidi ya hii democrasia unayoiponda?

Ni wapi duniani ambako wamedidimia kwa sababu wametekeleza democrasia ya uongozi kikamilifu na ni wapi ambako wako safi kwa uongozi wa kibwanyenye?

Kama wazungu ndio wanaharibu kwa sababu ya kusimamia democrasia, ukoloni uliingiaje Africa ikiwa utawala uliokuwepo ulikuwa imara na kwa ajili ya maslahi y ataifa? Umeongea na familia zilizoathirika na biashara ya utumwa kutokana na mitawala mishenzi kulinga koo zake na kuwauza raia zake utumwani?

Unaaweza kusimama upande wa koo za kitwana ambazo hazikuwa na ndoto ya kuvuka wigo wa akili za michawi iliyokuwa imejibinafsishia utawala?

Acha chuki za kukariri badala yake angalia hali halisi. Usilazimishe kila kitu kinachotokea ni wazungu. Unaju awewe Saddmam alizika watu wakiwa hai wanaume na wavulana wangapi ambao walikuwa nje ya mduara wake?

Tafadhali jadili hoja na uache propaganda.
 
Utaelewa tu taratibu,wazungu ukiwa na maslahi nao wao hakuna tatizo SADDAM alikuwa na urafiki na USA lakini unapopishana nao unakuwa adui yao.kumbuka hata OSAMA kuna kipindi alifundishwa mafunzo ya kijeshi na USA.kuchukiwa na wananchi kunatengenezwa,kwa mfano MUGABE alikuwa na wazo zuri tu kuchukua mashamba na kuyagawa kwa wananchi maana wananchi walikuwa wanaishi kwa kufanya vibarua tu kwenye mashamba ya wazungu yani yale mambo ya ukitaka nikupe eneo la kulima kwanza itabidi uwe unanilimia mimi halafu nitakupa eneo na wewe ulime maana cheap labour ni wazawa,wazawa walikuwa hawana nafasi ya kulima ardhi yote iliyokuwa inafaa kwa kilimo ilihodhiwa na wazungu waliorithishana tangu ukoloni.MUGABE alipowaondoa wazungu akawekewa vikwazo,hata kama alitaka kuwaunganisha wakulima wawe katika vikundi halafu wasaidiwe na serikali ruzuku kuweza kuyaendesha mashamba imeshindikana kwasababu amewekewa vikwazo na hata kama alifanikiwa kuyaendesha lakini kumbuka wanunuzi wakubwa wa bidhaa hizo walikuwa ni wazungu kwahiyo soko likawa hakuna na vikwazo vikaongeza ugumu wa maisha kwahiyo lazima wananchi wakuchukie,ujiulize tu kidogo kwanini MUGABE aligeuka mbaya alipowanyang'anya wazungu mashamba tuu?kwani tangu ameanza kungangania madaraka ni leo?
 
maamuzi ya Mugabe yalikuwa na nia njema tu lakini kwakuwa aligusa maslahi ya wazungu basi wamemkomoa kwa kumuwekea vikwazo lukuki,hata kama wazawa wangeweza kuendeleza hayo mashamba wangeuza wapi?wakati wamewekewa vikwazo?nikitafakari jinsi LIBYA ilivyosambaratika naona hakuna nchi ya AFRIKA hata moja itakuja kuwa nchi tajiri na kuwa moja kati ya nchi zilizoendelea hata kuwe na rasilimali za kila aina.

Stay tuned ....Tanzania will catch many in surprise !
 
Wazungu wameifanya afrika kama shamba la kupata malighafi,na kwakuwa waafrika hatujielewi hatutakuja kujikomboa kamwe,umaskini hautakwisha kamwe ili iwe sababu ya sisi kuombaomba ili watuwekee masharti ya kuchukua rasilimali zetu.niambie ni nchi gani ya afrika ina maendeleo na wananchi wake wana maisha mazuri?utakuta ni nchi chache sana na ndogo ambazo hazina malighafi(rasilimali)wazitakazo wazungu,nimesema mwanzo kwamba hakuna nchi ya afrika itakujakuwa katika listi ya nchi zilizoendelea NEVEr.

Nchi za Afrika zenye utajiri wa rasilimali zote zina matatizo na wananchi wake wala hawanufaiki na huo utajiri wa nchi zao.kama hujamuelewa MUGABE wala hujamuelewa GADDAFI na wengine wengi wa aina hiyo,basi wewe hujajielewa kama muafrika,upo upo tu.
Where is South Africa? acheni ujinga nyie wa kila kitu kusingizia njaa zenu kwa wazungu,hizo dubious contracts zote zinazoongeza umaskini wa nchi mnaingia wenyewe wala hamjashikiwa bunduki na mzungu,huyo Mugabe almost 4m of his citizens wameishia kuwa wakimbizi kwa ajiri ya stupid policies zake za kimaskini,na hizo corruptions za TRA,BOT,TANESCO etc ambazo zina worth billions nazo ni mzungu? tatizo na umaskini wa Africa ni watu kama wewe sio wazungu
 
Sawasawa,nilijua watu wengi wakitaka kutolea mfano nchi ya afrika iliyoendelea watatolea mfano SOUTH AFRICA nchi ambayo makaburu wameikalia kwa mabavu mpaka 1990 wakampa nchi MANDELA lakini ukiiangalia wananchi wake asilimia kubwa ni masikini kama sisi tu sema wanatushinda kwenye miundombinu,viwanda,migodi,mashamba makubwa vitu ambavyo kwa asilimia kubwa vinamilikiwa na makaburu na wawekezaji wa nje lakini wazawa wamebaki kuwa masikini

Ndio sababu ya fukuzafukuza ya waafrika wenzao ambao wamewasaidia hifadhi wakati wakipigania uhuru kutoka kwa makaburu,

SOUTH AFRICA mpaka sasa ukiacha nafasi chache za juu ambazo zimeshikwa na wasouth wenyewe lakini nafasi nyingi bado ni za wazungu na mpaka leo south kuna mitaa mtu mweusi hupiti.
Katika afrika napenda kuitolea mfano LIBYA ni nchi ambayo hakutakuja kutokea afrika nchi kama LIBYA.

Pamoja na ubaya wa utawala wa GADDAFI lakini ndio nchi pekee AFRIKA ambayo walikuwa hawalipi umeme(bure)shule(bure)matibabu(bure)ukikosa huduma za afya zinazofaa LIBYA serikali inakupeleka nje kwa gharama zao na pesa ya kujikimu ukiwa nje ya nchi.
Mikopo ilikuwa haina riba,bei ya petroli ilikuwa sawa na bure na kila mlibya aliwekewa GAWIO kwenye akaunti yake ya benki kutoka kwenye pasenti ya mauzo ya mafuta.

Waliokuwa hawana kazi walilipwa pesa hasa kama umemaliza chuo na hujapata kazi unalipwa mshahara wastani sawa na mwenye elimu kama yako aliyeajiriwa.

LIBYA ilikuwa ukitaka kununua gari serikali inakulipia 50% ya gharama,LIBYA ilikuwa haina madeni nje ya nchi.
Mama akijifungua analipwa,wapi utapata mambo kama hayo ambayo hata nchi za ulaya hakuna?,wanaojua zaidi wataelezea.
We unakuja na SOUTH AFRICA? nchi ambayo asilimia kubwa ya wananchi wake ni masikini kama sisi tu tena sisi tuna fursa zaidi yao.
SOUTH AFRICA mwenye hali kama yangu hawezi kupata ardhi ya kujenga lakini bongo napata tena bila mkopo,south wanaishi kwa kupanga tu,wachache wenye uwezo wa kujenga.tusifikie ya south nchi kuwa na utajiri ambao wananchi wake wanausikia tu ingawa ina miundombinu mizuri kama barabara,maji,umeme,nk.Tunatakiwa tuwe kama LIBYA ya gaddafi.
 
Libya ni ushenzi wa Gadafi kung'ang'ania madaraka na wala hakuna uchawi. Hivi kama angelikuwa anatawala Libya kwa ajili ya wananchi, ni kwa nini hakukubali kufanya demokrasia? Kama angelikubali kuongoza nchi kwa utashi wa wananchi wake, kwa maana ya kufanya uchaguzi wananchi wachague raisi wanayemtaka kwa wakati walipotaka, nayeye akabaki na heshima ya uraisi mstaafu akishuhudia na kushauri mwendelezo wa Libya, yangemkuta yaliyomfika? Walibya Wangeuana? Alidhani ataishi milele? Lazima kufa angelikufa kwa namna yoyote. Je baada ya kufa kwake, Waliby awasingegombana kama ilivyoleo? Kiongozi mzuri ni yule anayetawala na kuliangalia taifa kwa vizazi vijavyo na hivyo kuandaa mfumo sahihi wa maendeleo ya uma na si yale ya faimilia au kundi dogo analotaka yeye kinyume na wenye nchi.

Ni ujinga wa viongozi kudhani uraisi ni utemi.

Mugabe alipashwa kuzijua hizo hesabu kabla hajatwanga maji. . Mugabe siyo Zimbabwe. Kama maamuzi yake yalikuw ani kwa ajili ya Wazimbabwe, kwa nini kung'anng'ani madaraka na kuua watu kwa sana eti wanampiga?

Leo hii Zanzibar watu wakianza kufa na njaa mtalaumu Wazungu? Kila maamuzi yanagharama. Zingatia uwezo wa kufika bei kabla hujatoa order. Makeke bila nguvu ni upumbavu na fedheha!. Sasa yako wapi?

Zilikuwapo njia nyingi sana za kufanya uchumi shirikishi Zimbabwe ambazo kila upande ungenufaika na hatimaye kujenga uwezo mkubwa kwa wazawa zaidi ya ubabe wa kijinga ambao haujalipeleka taifa mahala popote. Na ndiyo sababu haka kazee hakataki kuachia nchi kwa hofu ya hasira za Wazimbabwe kalikowaua kwa kisingizio cha kuwalinda.
Umeongea pumba nyingi mtu anayefananisha mbwa na ng'ombe si mzima
 
Hata siku moja huwezi kushindana na mzungu ww, Mzungu ndiye aliyeshika hii dunia Hata mchina mwenyewe anampa respect, sembuse ww nyang'au
 
maamuzi ya Mugabe yalikuwa na nia njema tu lakini kwakuwa aligusa maslahi ya wazungu basi wamemkomoa kwa kumuwekea vikwazo lukuki,hata kama wazawa wangeweza kuendeleza hayo mashamba wangeuza wapi?wakati wamewekewa vikwazo?nikitafakari jinsi LIBYA ilivyosambaratika naona hakuna nchi ya AFRIKA hata moja itakuja kuwa nchi tajiri na kuwa moja kati ya nchi zilizoendelea hata kuwe na rasilimali za kila aina.
Usife moyo,mambo yatabadilika hakika japokuwa itachukua muda kidogo.

Walitufanya watumwa,wakatawala nchi zetu lakini sasa yote hayo ni historia.

Time will heal for sure
 
maamuzi ya Mugabe yalikuwa na nia njema tu lakini kwakuwa aligusa maslahi ya wazungu basi wamemkomoa kwa kumuwekea vikwazo lukuki,
...Ukiangalia kwa undani, hayakuwa na nia njema. He was trying to save his @$$. And he succeeded.

...Ungekuwa wewe Mwingereza, jamaa zako wakafanywa vile, na una uwezo wa kufanya kitu, ungechukua hatua gani? Vikwazo vilitegemewa!

hata kama wazawa wangeweza kuendeleza hayo mashamba wangeuza wapi?wakati wamewekewa vikwazo?
...Wangekuwa na uwezo huo, wangeyanunua, si kuyatwaa kwa nguvu na kufanya uharibifu wa mali. Actually, that in itself, tells a lot.

...Wameshindwa hata kulima mahindi. Sisi tulipotwaa vya wazungu enzi zile, viliishia wapi?

hakuna nchi ya AFRIKA hata moja itakuja kuwa nchi tajiri na kuwa moja kati ya nchi zilizoendelea hata kuwe na rasilimali za kila aina.
...Botswana ni moja ya nchi zinazotumia raslimali zake vizuri. Nigeria inajiweka sawa.
 
Wazungu wanaendelea kututawala kwa kigezo cha demokrasia,demokrasia siku zote inawagawa watu,siku zote kwenye demokrasia watu hawawi wamoja.Gadafi alikuwa na ubaya wake lakini kungangania madaraka haikuwa tatizo,tatizo alikuwa anatishia maslahi ya wazungu kwa kutaka AFRIKA iungane kuwe na kitu kama UNITED STATE OF AFRICA hiyo ajenda ndio iliomuua sio kitu kingine.
...Unaamini kuwa Afrika inaweza kuungana? Kama jibu ni ndio, nakubaliana nawe kwamba ndicho kilicho muua. Kama jibu ni hapana, basi tuangalie mambo mengine ambayo ndio yanaweza kuwa chanzo.
 
Nimekumbuka jambo hili baada ya kusoma thread hii kwa huyu jamaa ambaye sometime yupo fresh sometime mwezi mchanga. Mh/ Shujaa Kibanga aomba Radhi baada ya Kumpiga Mzungu

inasemekana kutokana na hali ngumu ya kiuchumi zimbabwe rais robert mubabe ameamua kuyarudisha mashamba aliyowapokonya wazungu mikononi mwao. hali imekuwa mbaya kwa mashamba hayo kutokuendelezwa kwa kipindi chote ambacho walinyang'anywa. na hivyo kusababisha baa la njaa kwa nchi hiyo iliyo kusini mwa afrika.

mzee mubabe(mugabe) baada ya kutafakari ameona suluhisho pekee ni kurudisha mashamba hayo kwa wazungu ambao waliweza kuyashughulikia vizuri sana.
Once bitten twice shy; wazungu hawana sababu ya kumuamini tena.
 
Back
Top Bottom