DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 551
...Gold backed currency. Nimekuelewa, and that was my point.F
Fedha inabakia ya karatasi au madini dhaifu kuliko dhahabu,tofauti ni kwamba unaweza ukaibadilisha hiyo hela benki wakati wowote na ukapewa dhahabu inayolingana na Fedha unayoibadilisha.mfano unaenda benki na shillingi elfu kumi,utapewa dhahabu yenye thamani ya elfu kumi.hivohivo elfu ishirini na kuendelea.wataalam Wa uchumi wanaweza tufafanulia zaidi.
...Nchi kadhaa zina back asilimia fulani ya fedha zao kwa gold. Bado issue inabaki pale pale, kwamba, si rahisi kwa Afrika kuwa na sarafu yake.