F
Fedha inabakia ya karatasi au madini dhaifu kuliko dhahabu,tofauti ni kwamba unaweza ukaibadilisha hiyo hela benki wakati wowote na ukapewa dhahabu inayolingana na Fedha unayoibadilisha.mfano unaenda benki na shillingi elfu kumi,utapewa dhahabu yenye thamani ya elfu kumi.hivohivo elfu ishirini na kuendelea.wataalam Wa uchumi wanaweza tufafanulia zaidi.