Robertinho alipendekeza Aziz Ki ang'olewe Yanga

Kama walimshindwa Caesar Manzoki kutoka Vipers kwa dau la kawaida kabisa mwaka wa jana, ndiyo wawe na uwezo wa kumsajili Stephane Aziz Kii kutoka Yanga!

Na kama wana ndoto za kumsajili mwishoni mwa msimu eti "baada ya kumaliza mkataba wake"!! Ndiyo wasahau kabisa. Maana huyo Aziz Kii siyo mbumbumbu wa kutoka timu kama Yanga, na kwenda timu ya tia maji tia maji kama simba.
 
Na vita Toka Kwa wachambuzi uchwara ilikuwa kubwa...walipinga kabisa
 
Isomwe na mtaalam wa hisabati za kihasibu OKW BOBAN SUNZU
 
Mhasibu OKW BOBAN SUNZU upo?
 
Na kweli South kuna baridi naona CAF wakawaonea wivu mpaka wakawatoza faini ya dola 5000.
Wivu yao.tu hamia Simba kuna baraka unamuona Diamond kahamia yanga anamademu wa hovyoo na anavuta unga zamani alipokuwa simba yupo na vifaa na riziki ipo na maisha yalikuwa juu anatema mbegu kwa watu wapo juu sasa mmh Yanga gundu cheupe nyota ikazima alikiba ndio kapanda kisa yupo simba mambo fresh
 
Walilia sana wakimuhitaji kipara , akazuga akaingia laini leo mbona hawamuimbi tena , mchezaji akiondoka YANGA aende Kwa adabu tu la sivo huko hakuna atakalofanya ikitokea ni Kwa muda mfupi tu
Kwa sababu yanga ni wachawi sana, mpira hauko ivyo mpira ni kazi, mpira ni burudani sasa iweje mchezaji aondoke eidha peaceful au kwa jeuri kikubwa mchezaji anaitaji kuondoka mwache aende acheni kuroga wachezaji
 
Nifah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…