Robertinho hamtaki Ngoma

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
"ROBERTINHO HAMTAKI NGOMA "

Inaelezwa kwamba Robertinho hafurahii kumtumia Fabrice Ngoma kwenye eneo la kiungo Mkabaji kwasababu sio eneo lake asilia na yeye anataka kiungo mkabaji asilia hivyo amewaambia viongozi wake kama inawezekana wamuuze atafutiwe kiungo mkabaji asilia

Hii ni kwasababu anasema kiufundi hakuna tofauti katia Ngoma na Mzamiru Yassin na Wakati anawaambia viongozi wake kwamba anataka kiungo alikuwa anataka kiungo mkabaji asilia sio Box to box.

Habari hii ni kwa Mujibu wa mtu wa karibu sana na bench la ufundi la Simba
 
Ampeleke Mashujaa Kigoma
 
Mkuu kwani Fabrice Ngoma umeanza kumuona Simba?

Tuachane na Robertinho: Vipi na wewe unamuona Ngoma kama sio namba sita? Unakubali Ngoma ni Box to Box? Yaani unakubali Ngoma kiufundi yupo kama Mzamiru?

Je ulitaka Kusema Kanoute badala ya Ngoma?

au Hujapata taarifa kamili Mkuu?
 
Kifupi pale hakuna kocha
 
Yaani ngoma sawa na kanoute na mzamiru!!! Kocha aache masihara[emoji1787]
Kwa namna anavyo cheza Ngoma hawezi kuwa namba sita yupo slow sana na pancha zinamfanya afikirie mara mbili kabla ya kumuingia mtu.
Kiungo cha Simba bado kitabaki na Mzamiru na Kanute na uo ndio ukweli.
Kama kweli Ngoma mnampenda acheze namba yake 8 na si vinginevyo.
Stail ya Kocha wa Simba ni kicheza kwa nguvu na kasi na namba 6 inataka watu wa aina iyo.
 
Yanga bado mnaumia sana kwa Namba Sita kuwatoroka Airport! Ahahahahaha! By the way, Carlinhos aliyechangamka (Skudu) asharudi? Ahahahahaha!!!
 
Tutakesha hapa.
🚶🚶
 
Asante sana kwa taarifa kutoka huko kwenu UTOPOLONI
 
[emoji23][emoji23] aisee hii hatari
hivi mpira mnaonaga kama ngono unaingiza dude tu basi
 
Naunga mkono hoja.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Propaganda za kijinga hizi mtaachana nazo lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…