Robertinho hawezi kufika Nyerere Day kama kocha wa Simba kwa aina hii ya soka

Robertinho hawezi kufika Nyerere Day kama kocha wa Simba kwa aina hii ya soka

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo;

1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja

2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake

3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa

4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
 
Hawa viongozi wetu nao ni shida tu!

Wengi wako Simba kwa sababu ya masilahi na Umaarufu!

Sio watu wa mpira!
Hivi mtu wa mpira, unathubutu vipi kubadili Kocha anaefanya vizuri! - ili ulete Kocha ambae hujui kana atafanikiwa! ( Kubeti)
Mgunda alikuwa anaefanya vizuri kwenye mashindano ya ndani na nje!
Na boli ilikuwa inatembea!
Haya Mambo ya kuamini sana makocha wa nje ndio tatizo!
Mgunda kama angebaki- na akashirikishwa kusajili kikosi, tungekuwa imara sana!
Robetino hakuna kitu- hata CV inamshika!

Mwenyekiti wa bodi- ajjitathimini vizuri.
 
Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo;

1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja

2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake

3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa

4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
NA KWELI HATAFIKA KWA KUIFUNGA YANGA NA KUTWAA NGAO YA HISANI
 
Siku zote hii mizungu na miarabu inayozunguka uku Africa ikijitambulisha kama ni makocha ni mitapeli na midalali ya ulaya tu haina uwezo wowote!! Kwasababu ngozi nyeusi uwa hatujiamini, ndio maana tunaipa kazi za kipato kikubwa!! Ila ni aibu karne hii na kwa hatua tulizopiga kuendelea kuwaamini hawa wakoloni washenzi.
Huyu kocha anapitwa mbali na Mgunda
 
Back
Top Bottom