Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nilivyomsikia anavyoongea tu nikasema hamna mtu humu Tena Bora Jana tungefungwa ili wanazi wajue Sasa tutapoteza point Saba kwenye ligi au kumi kuja kumfukuza kocha tumechelewa timu apewe mgunda tu mapemaKitakachomfanya asifike ni yafuatayo;
1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja
2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake
3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa
4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
Mjadala ulikuwa bocco aachwe Leo ni first eleven kweli si utanini kama ulikuwa kichwani mwangu sielewi ni vitu gani kocha anaona sisi hatuoni hivi Saidoo na Boko Wana Nini Cha ziada.
Washazeeka...baleke amebaki kuvizia na kibu dee ni kujiangusha tu ndani ya boxSimba wana rasimali nyingi ila bado hawaja elewana au kocha hajui kuzitumia hizo rasilimali au hizo rasilimali sio mali?
Robertinho kwenye point tatu ni habari nyingine.Sina pressure kabisa na kocha wa Simba, anajua anachofanya, hasa anazingatia umuhimu wa mechi husika, ile game ya jana Simba hawakwenda pale kutafuta ushindi kwenye lile bonanza, ndio maana wakaacha utopolo wacheze wapendavyo, utamjua Robertinho vizuri tukianza kuzitafuta pointi tatu kwenye ligi kuu.
Teh teh teh haya kamsaidie kubeba mabegi kwenda AirportSina pressure kabisa na kocha wa Simba, anajua anachofanya, hasa anazingatia umuhimu wa mechi husika, ile game ya jana Simba hawakwenda pale kutafuta ushindi kwenye lile bonanza, ndio maana wakaacha utopolo wacheze wapendavyo, utamjua Robertinho vizuri tukianza kuzitafuta pointi tatu kwenye ligi kuu.