Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
NA KWELI HATAFIKA KWA KUIFUNGA YANGA NA KUTWAA NGAO YA HISANIKitakachomfanya asifike ni yafuatayo;
1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja
2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake
3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa
4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
ni kama ulikuwa kichwani mwangu sielewi ni vitu gani kocha anaona sisi hatuoni hivi Saidoo na Boko Wana Nini Cha ziada.Wachezaji wote waliosajiliwa kwa fedha chungu nzima ndio kweli hawana uwezo wa kuwaweka bench kibu, Saido na John boko. Kocha hatufai anashindwa kuzitumia resources tulizonazo
Huyu kocha anapitwa mbali na MgundaSiku zote hii mizungu na miarabu inayozunguka uku Africa ikijitambulisha kama ni makocha ni mitapeli na midalali ya ulaya tu haina uwezo wowote!! Kwasababu ngozi nyeusi uwa hatujiamini, ndio maana tunaipa kazi za kipato kikubwa!! Ila ni aibu karne hii na kwa hatua tulizopiga kuendelea kuwaamini hawa wakoloni washenzi.
Tena mbali mno.Huyu kocha anapitwa mbali na Mgunda
Saidoo si ndo top scorer na top in assist mkuu? [emoji16]ni kama ulikuwa kichwani mwangu sielewi ni vitu gani kocha anaona sisi hatuoni hivi Saidoo na Boko Wana Nini Cha ziada.
Mkuu umesema kweliHadi sasa sajili bora ni chemalon tu,wengine ni wa kawaida