Robertinho hawezi kufika Nyerere Day kama kocha wa Simba kwa aina hii ya soka

Sina pressure kabisa na kocha wa Simba, anajua anachofanya, hasa anazingatia umuhimu wa mechi husika, ile game ya jana Simba hawakwenda pale kutafuta ushindi kwenye lile bonanza, ndio maana wakaacha utopolo wacheze wapendavyo, utamjua Robertinho vizuri tukianza kuzitafuta pointi tatu kwenye ligi kuu.
 
Mie nilivyomsikia anavyoongea tu nikasema hamna mtu humu Tena Bora Jana tungefungwa ili wanazi wajue Sasa tutapoteza point Saba kwenye ligi au kumi kuja kumfukuza kocha tumechelewa timu apewe mgunda tu mapema
 
Kocha Robertinho Hana sifa za kufundisha Simba, hafai, timu Haina fomesheni Wala possession.

Timu Haina uwezo wa kupanga mashambilizi, timu haiwezi kukaa na mpira hata dkk moja tu, timu Haina muunganiko, timu haiwezi kukaba Kila Muda wapinzani wako golini kwa Simba! Simba wameingia mtumbwi wa vibwengo pale kwa Robertinho Hamna kocha! Huu ni ukweli mchungu! Afukuzwe Bado mapema!

Huko mbele ni aibu zaidi timu nyingi ndogo ndogo zikikamia mechi zitaifunga Simba kirahisi na wala haitakuwa stori, sote tunaona uwezo ilionao Simba hii!
 
Robertinho kwenye point tatu ni habari nyingine.
 
Teh teh teh haya kamsaidie kubeba mabegi kwenda Airport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…