Ndg, Rage apewe Maua yake mapema....Nilianza kazi yangu hapa Januari sijafungwa kwenye ligi, nimepata ushindi na sare, siwezi zungumza kabla yangu, siwezi zungumzia makocha wengine kabla yangu.
Bila Kufungwa tulishinda dhidi ya wapinzani wetu Yanga hivyo kwangu Simba ni mabingwa.
Cc: Robertinho, kocha wa Simba.
Mzee robertinho: Hivi Simba ni mabingwa wa kombe lipi, au umedata?Nilianza kazi yangu hapa Januari sijafungwa kwenye ligi, nimepata ushindi na sare, siwezi zungumza kabla yangu, siwezi zungumzia makocha wengine kabla yangu.
Bila Kufungwa tulishinda dhidi ya wapinzani wetu Yanga hivyo kwangu Simba ni mabingwa.
Cc: Robertinho, kocha wa Simba.
Kawakuta mambumbumbu...Mzee robertinho: Hivi Simba ni mabingwa wa kombe lipi, au umedata?
Sio feelings ,, ni chiz tuAna strong feelings
ali kamwe alimuonea mgunda...huyu chiba na andazi ndio bora andaziNilianza kazi yangu hapa Januari sijafungwa kwenye ligi, nimepata ushindi na sare, siwezi zungumza kabla yangu, siwezi zungumzia makocha wengine kabla yangu.
Bila Kufungwa tulishinda dhidi ya wapinzani wetu Yanga hivyo kwangu Simba ni mabingwa.
Cc: Robertinho, kocha wa Simba.