Robertinho: Kwangu Simba ni bingwa msimu huu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Nilianza kazi yangu hapa Januari sijafungwa kwenye ligi, nimepata ushindi na sare, siwezi zungumza kabla yangu, siwezi zungumzia makocha wengine kabla yangu.

Bila Kufungwa tulishinda dhidi ya wapinzani wetu Yanga hivyo kwangu Simba ni mabingwa.

Cc: Robertinho, kocha wa Simba.

1685452661833.jpg
 
Ndg, Rage apewe Maua yake mapema....
 
Nilianza kazi yangu hapa Januari sijafungwa kwenye ligi, nimepata ushindi na sare, siwezi zungumza kabla yangu, siwezi zungumzia makocha wengine kabla yangu.

Bila Kufungwa tulishinda dhidi ya wapinzani wetu Yanga hivyo kwangu Simba ni mabingwa.

Cc: Robertinho, kocha wa Simba.

Mzee robertinho: Hivi Simba ni mabingwa wa kombe lipi, au umedata?
 
RATIBA YA MVUA.

Tunapenda kuwatangazia kuanzia leo itasimama kidogo mpaka tena siku ya Finali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC).

Tunaomba radhi kwa usumbufu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kombe lazima lije mkuu
 
Huyu kocha hata shangilia yake tu huwa inagoa dalili mbaya kuhusu kichwa chake
 
Nilianza kazi yangu hapa Januari sijafungwa kwenye ligi, nimepata ushindi na sare, siwezi zungumza kabla yangu, siwezi zungumzia makocha wengine kabla yangu.

Bila Kufungwa tulishinda dhidi ya wapinzani wetu Yanga hivyo kwangu Simba ni mabingwa.

Cc: Robertinho, kocha wa Simba.

ali kamwe alimuonea mgunda...huyu chiba na andazi ndio bora andazi
 
Back
Top Bottom