Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Nilianza kazi yangu hapa Januari sijafungwa kwenye ligi, nimepata ushindi na sare, siwezi zungumza kabla yangu, siwezi zungumzia makocha wengine kabla yangu.
Bila Kufungwa tulishinda dhidi ya wapinzani wetu Yanga hivyo kwangu Simba ni mabingwa.
Cc: Robertinho, kocha wa Simba.
Bila Kufungwa tulishinda dhidi ya wapinzani wetu Yanga hivyo kwangu Simba ni mabingwa.
Cc: Robertinho, kocha wa Simba.