Roberto Carlos ayatimba kwa mkewe, huenda akafirisika kisa kesi ya talaka

Roberto Carlos ayatimba kwa mkewe, huenda akafirisika kisa kesi ya talaka

Kama wewe ni tajiri, maarufu na wala sio mcha Mungu unaoa kwa ajili gani?
Sisi wengine ambao tuna pambana na maisha na tuna mcha Mungu ( hatutaki kuzini) lazima tuoe.
Mimi maisha yangu yame improve sana baada ya kuoa.
kwa hiyo nyinyi mnao jiita Wacha Mungu mko salama ehh??.

Vipi yule mbasha ili kuwaje na flora ??,!jipe moyo kita kulamba tu.
 
Kama wewe ni tajiri, maarufu na wala sio mcha Mungu unaoa kwa ajili gani?
Sisi wengine ambao tuna pambana na maisha na tuna mcha Mungu ( hatutaki kuzini) lazima tuoe.
Mimi maisha yangu yame improve sana baada ya kuoa.
Hata Roberto Carlos pia alisemaga hivi hivi "Sasa hivi maisha yangu yame improve sana baada ya kuoa"
 
Hawa wanawake wanapata hivyo viburi coz ya sheria zilizopo,
Ingekua hakuna issue ya kugawana mali,wala wasingefanya huo ujinga,

Achraf Hakimi alifanya jambo la maana sana kuandikisha mali zake zote kwa jina la Mama yake.
naam Sheria za kipuuzi sana, ila mbinu za kuji Linda zipo.

dawa ni prenuptial marriage agreement, halambi hata sumni.
 
Hii pia sio nzuri, watakuja kuzichukua ndugu na jamaa kirahis tu.
Bora zichukuliwe na ndugu zako kuliko mtu wa nje,
Mke sio ndugu yako,

Pia sio familia zote ni za hovyo,hapo unaweza kukuta kua,Mama yake Hakimi amesha andika urithi kua atakaye rithi mali zake ni Hakimi,hizo risk,Hakimi alisha ziona kabla yako.
 
sema ndugu wa kibongo mhh, hapana. ndugu wa mzee wali taka kuni fyekelea mbali.
 
Back
Top Bottom