Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #81
pamoja sanaPole mkuu na Kila la heri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pamoja sanaPole mkuu na Kila la heri
Ana utajiri wa pauni 123m halafu analala uwanja wa mazoezi? It doesn't make any sense.Roberto Carlos, beki maarufu wa zamani Real Madrid, anaripotiwa kuishi katika uwanja wa mazoezi wa klabu ya, Real Madrid Sports City huko Valdebebas, huku akipitia talaka ya juu kutoka kwa mke wake wa miaka 15, Mariana Luccon.
Wawili hao, waliofunga ndoa mwaka 2009, kwa sasa wako kwenye vita vya kisheria kuhusu utajiri wa Carlos, ambao unakadiriwa kufikia pauni milioni 133, kulingana na ripoti kutoka Goal. Wakati nyota huyo wa Brazil amechukua makazi kwa muda kwenye uwanja wa mazoezi, mke wake wa zamani anasalia katika nyumba yao kuu, na wazazi wake wanakaa katika mali nyingine inayomilikiwa na Carlos. Wenzi hao wa zamani wana mabinti wawili, Manuela na Mariana.
Carlos, ambaye ali ichezea Real Madrid kwa zaidi ya muongo mmoja, anajivunia maisha mazuri, baada ya kushinda mataji matatu ya Ligi ya Mabingwa na mataji manne ya La Liga. Zaidi ya soka, maisha yake ya kibinafsi pia yamevutia, kwani amekiri hadharani kuzaa watoto 11 na wanawake saba katika nchi tofauti.
Huku taratibu za kisheria kuhusu mgawanyo wa mali ukiendelea, bado haijulikani ni muda gani Carlos atakaa katika kituo cha mafunzo au matokeo ya mwisho ya kesi hiyo yatakuwaje. Mbali na mafanikio yake ya zamani uwanjani, sasa anatumika kama balozi wa Real Madrid.
Fununu zina sema "mwanamke ndie aliye msaliti r. Carlos" na alipo ulizwa kwanini kafanya hivyo .yeye kakimbilia talaka.
ushauri tu,
ikiwa wewe ni maarufu na umepata pesa, hakuna haja ya kuoa. Ndoa daima huisha kwa talaka. Kuwa kama Christiano Ronaldo.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO, KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO.
KATAA NDOA LINDA JUHUDI ZAKO.
NDOA NI MKATABA WA KITAPELI.
View attachment 3196441
ndo hivyo, Sasa kwani kesi bado Ina endelea.Ana utajiri wa pauni 123m halafu analala uwanja wa mazoezi? It doesn't make any sense.
Kuna post hapo juu kakanusha Mkuu. Isingeingia akilini, ashindwe hata kukaa hotelini au kwenye apartment?ndo hivyo, Sasa kwani kesi bado Ina endelea.
Kwa tetesi Ina semekana ana majumba 2, Yana kaliwa na mkewe +wakwe zake
Sasa kukanusha Kuna ondoa ukweli??, kwa wenzetu biashara ni pesa.Kuna post hapo juu kakanusha Mkuu. Isingeingia akilini, ashindwe hata kukaa hotelini au kwenye apartment?
Kama ni kweli mimi na wewe hatujui. Lakini sidhani kama jamaa kakosa hela ya kukaa sehemu nzuri mpaka aishi camp.Sasa kukanusha Kuna ondoa ukweli??, kwa wenzetu biashara ni pesa.
Vipi Kama ndugu wa karibu ndio katoa info??
Mzee aki enda kukaa apartment ya kupanga, si wata zidi kumwambia ana mali zaidi??Kama ni kweli mimi na wewe hatujui. Lakini sidhani kama jamaa kakosa hela ya kukaa sehemu nzuri mpaka aishi camp.
Hizo sasa ni speculation. Kwa hiyo unataka kusema anaishi camp ili settlement isiwe kubwa? Kama ni mali zinajulikana, kuishi kwenye apartment au hotelini kunaongeza au kupunguza nini? Mwishowe mtatuambia anakula kwa mama ntilie na anatembelea Bajaj ili mgao uwe ndogo kwa mkewe.Mzee aki enda kukaa apartment ya kupanga, si wata zidi kumwambia ana mali zaidi??
Kama wali panga kuomba 80%, Wana ongea 5
Mkuu mimi na wewe hakuna Roberto Carlos kati yetu, mambo yake tumu achie mwenyewe .Hizo sasa ni speculation. Kwa hiyo unataka kusema anaishi camp ili settlement isiwe kubwa? Kama ni mali zinajulikana, kuishi kwenye apartment au hotelini kunaongeza au kupunguza nini? Mwishowe mtatuambia anakula kwa mama ntilie na anatembelea Bajaj ili mgao uwe ndogo kwa mkewe.
Mkuu hiyo mbinu ya kuficha jina, Ume fanyaje??Ameyakanyaga kuoa "MTASHA" muache aione "NGONDOIGWA"
Bcc: Achraf Hakimi
Kwa ulaya inawezekana na kama husipokuwa makini, unapukutishwa kila kitu.Eboue kacheza Arsenal na Fenerbace kapukutishwa kila kitu na mkewe,Arsenal imemuonea huruma anafundisha timu ya watoto. Wanawake wa ulaya sio watu.Ana utajiri wa pauni 123m halafu analala uwanja wa mazoezi? It doesn't make any sense.
naam, mi muda mwingine kubishana ni kazi ngumuKwa ulaya inawezekana n kama husipokuwa makini, unapukutishwa kila kitu.Eboue kacheza Arsenal na Fenerbace kapukutishwa kila kitu na mkewe,Arsenal imemuonea huruma anafundisha timu ya watoto. Wanawake wa ulaya sio watu.
Mkuu hiyo mbinu ya kuficha jina, Ume fanyaje??
AsanteView attachment 3199991
More Option - Inline Spoiler.
NaamTeam kataa ndoa inazidi kupata hoja za Ushindi kila siku.