Lazima ya improve, Kwa ushauri wake ili baadae aje kukunyonyoa. Ni kama anapalilia kibubu chake.Kama wewe ni tajiri, maarufu na wala sio mcha Mungu unaoa kwa ajili gani?
Sisi wengine ambao tuna pambana na maisha na tuna mcha Mungu ( hatutaki kuzini) lazima tuoe.
Mimi maisha yangu yame improve sana baada ya kuoa.
Yule ndio zwazwa kweli kweli 🤣Hahaha, una mkumbuka ebou wa arsenal naye ali yatimba😂😂
Mwingine kante kita umana soon, kaoa kizee kilicho mfilisi mtu😂😂Yule ndio zwazwa kweli kweli 🤣
Hata wao walioa na maisha yao yaka improve ila sasa yanaenda KUPUKUTIKA.Mimi maisha yangu yame improve sana baada ya kuoa.
Mkuu hii mada naomba uandike uzi kabisa maana Ina ukakasi, unanishaurije mimi ambaye Niko quota Middle age na Sina maisha je nioe nikiwa hivi hivi au nisubiri Middle 30's
Lee min ho wa kimasikini Ume muona😃😃
naam uko sahihi mwenyekiti, Mimi katibu mwenezi nasema KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKOHata wao walioa na maisha yao yaka improve ila sasa yanaenda KUPUKUTIKA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
nacheka Sana, bado niko holiday so Kuna group la Wana k drama .🤣🤣😂😂😂Bado nasubiria ifike mbali kidogo kuepuka masuala ya kusubiria next episode
kibongo bongo kuwa kama Mond plutinumzRoberto Carlos, beki maarufu wa zamani Real Madrid, anaripotiwa kuishi katika uwanja wa mazoezi wa klabu ya, Real Madrid Sports City huko Valdebebas, huku akipitia talaka ya juu kutoka kwa mke wake wa miaka 15, Mariana Luccon.
Wawili hao, waliofunga ndoa mwaka 2009, kwa sasa wako kwenye vita vya kisheria kuhusu utajiri wa Carlos, ambao unakadiriwa kufikia pauni milioni 133, kulingana na ripoti kutoka Goal. Wakati nyota huyo wa Brazil amechukua makazi kwa muda kwenye uwanja wa mazoezi, mke wake wa zamani anasalia katika nyumba yao kuu, na wazazi wake wanakaa katika mali nyingine inayomilikiwa na Carlos. Wenzi hao wa zamani wana mabinti wawili, Manuela na Mariana.
Carlos, ambaye ali ichezea Real Madrid kwa zaidi ya muongo mmoja, anajivunia maisha mazuri, baada ya kushinda mataji matatu ya Ligi ya Mabingwa na mataji manne ya La Liga. Zaidi ya soka, maisha yake ya kibinafsi pia yamevutia, kwani amekiri hadharani kuzaa watoto 11 na wanawake saba katika nchi tofauti.
Huku taratibu za kisheria kuhusu mgawanyo wa mali ukiendelea, bado haijulikani ni muda gani Carlos atakaa katika kituo cha mafunzo au matokeo ya mwisho ya kesi hiyo yatakuwaje. Mbali na mafanikio yake ya zamani uwanjani, sasa anatumika kama balozi wa Real Madrid.
Fununu zina sema "mwanamke ndie aliye msaliti r. Carlos" na alipo ulizwa kwanini kafanya hivyo .yeye kakimbilia talaka.
ushauri tu,
ikiwa wewe ni maarufu na umepata pesa, hakuna haja ya kuoa. Ndoa daima huisha kwa talaka. Kuwa kama Christiano Ronaldo.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO, KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO.
KATAA NDOA LINDA JUHUDI ZAKO.
NDOA NI MKATABA WA KITAPELI.
View attachment 3196441
The key point ni nini summarizeHuo ni uoga mara kataa ndoa mara oa Mwanamke mwenye kazi yake sitaki goolkeeper mara usioe mara kataa single mom mara kataa vitoto vya 2000 mara warangi hawafai mara wazigua mara wanyakyusa Wana vile mara sekta ya afya hawafai mara wa singida Kaa mbali nao mara mara mara mara maneno meeeengi, wewe kama ni mwanaume SEMA Mimi sitaki Mwanamke tujue wewe ni mwanaume kweli, Bali mwanaume wa kweli ni huyu Anapenda kweli, anaoa, anamtunza mke wake na familia yake, anapambana na kumaliza changamoto zinazojitokeza, na akimalizana na mke wake mume hubaki mshindi kwa kuwa hakutenda uonevu dhidi ya mke wake, anatafuta mke mwingine maisha yanasonga, Ewe kataa ndoa usikatae ndoa tu Bali kama unaweza kataa wanawake tujue kweli wewe ni mwanaume. Na Raha ya Dunia ni wanawake hawatakosa changamoto wapende na malizana nao kiungwana kabisa.
Kwani post inasemaje?The key point ni nini summarize
Kwani post inasemaje?
Pole mkuu na Kila la heriMajukumu yali kuwa mengi, nili pata ajali iliyo niweka nje kwa muda mrefu.