Roberto Carlos ayatimba kwa mkewe, huenda akafirisika kisa kesi ya talaka

Ana utajiri wa pauni 123m halafu analala uwanja wa mazoezi? It doesn't make any sense.
 
Kama ni kweli mimi na wewe hatujui. Lakini sidhani kama jamaa kakosa hela ya kukaa sehemu nzuri mpaka aishi camp.
Mzee aki enda kukaa apartment ya kupanga, si wata zidi kumwambia ana mali zaidi??
Kama wali panga kuomba 80%, Wana ongea 5
 
Team kataa ndoa inazidi kupata hoja za Ushindi kila siku.
 
Mzee aki enda kukaa apartment ya kupanga, si wata zidi kumwambia ana mali zaidi??
Kama wali panga kuomba 80%, Wana ongea 5
Hizo sasa ni speculation. Kwa hiyo unataka kusema anaishi camp ili settlement isiwe kubwa? Kama ni mali zinajulikana, kuishi kwenye apartment au hotelini kunaongeza au kupunguza nini? Mwishowe mtatuambia anakula kwa mama ntilie na anatembelea Bajaj ili mgao uwe ndogo kwa mkewe.
 
Mkuu mimi na wewe hakuna Roberto Carlos kati yetu, mambo yake tumu achie mwenyewe .
 
Utajiri wa 133M halafu analala uwanja wa mazoezi au siyo? 🙄
 
Ana utajiri wa pauni 123m halafu analala uwanja wa mazoezi? It doesn't make any sense.
Kwa ulaya inawezekana na kama husipokuwa makini, unapukutishwa kila kitu.Eboue kacheza Arsenal na Fenerbace kapukutishwa kila kitu na mkewe,Arsenal imemuonea huruma anafundisha timu ya watoto. Wanawake wa ulaya sio watu.
 
Kwa ulaya inawezekana n kama husipokuwa makini, unapukutishwa kila kitu.Eboue kacheza Arsenal na Fenerbace kapukutishwa kila kitu na mkewe,Arsenal imemuonea huruma anafundisha timu ya watoto. Wanawake wa ulaya sio watu.
naam, mi muda mwingine kubishana ni kazi ngumu
 
Na sheria za Spain ni nyoko, ndio maana wanawake wanajidai sana. Kwetu Mbagala ukidai talaka unarudi kwenu Tandahimba kwa miguu, usiniletee uchakubimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…