Roberto Carlos: Badala ya kumkaba Ronaldinho Gaucho nilicheka Kwa kukumbuka chenga alilompiga Gattuso

Roberto Carlos: Badala ya kumkaba Ronaldinho Gaucho nilicheka Kwa kukumbuka chenga alilompiga Gattuso

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
IMG_20180201_234055.jpg

Beki namba Tatu ambaye inasemekana haijapata mbadala haswa, Roberto Carlos,

Amesema kuna mechi Kati ya Madrid na Barcelona alitakiwa amkabe Ronaldinho Gaucho lakin akakumbuka kwamba Gattuso alimsimulia kwamba alikuwa kampania Ronaldinho Gaucho ,
Lakin kumkamia huko hakukuzaa matunda hata kidogo, maana alipokuwa anadhamiria kumkaba kulia Ronaldinho Gaucho mpira anaupitisha kushoto, mbali ya hapo wakacheka Sana Kwa kukumbuka chenga aliyowapiga Chelsea ya kukata kiuno,
Akasisitiza kwamba ni muhimu kujua kwamba kila aliyemkaba Ronaldinho aliogopa kuonekana ndo kasababisha magoli kupitia upande wake

Heshima na makombe aliyokuwa Ronaldinho Gaucho mpaka anastaafu

Club
Paris Saint-Germain
Barcelona
Milan[159]
Atlético Mineiro
International
Brazil[160]
Individual
 
Naona we comparison zako hazina tija,, Kachambue Tennis au Cricket,,,,[emoji41][emoji41][emoji41]
Hahaha NAMI nimemcheka

Ronaldo de asses moreira yaan Gaucho

Ana Uefa 2 neymar ana moja

Ana la Liga 5 neymar ana mbili

Ana world cup moja neymar ana 0

Gaucho ana seria A na AC Milan 1

Ana Ballon dor 1 neymar 0

Ana mchezaji Bora wa dunia mara 2 neymar 0

Brazil ana Copa America 2 neymar 0

Ana confederation cup 2 neymar 0

Hivi anasema nini huyo
 
Back
Top Bottom