DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Misumari mkuuIla bado najiuliza kwanini hakukaa sana kwenye mpira?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misumari mkuuIla bado najiuliza kwanini hakukaa sana kwenye mpira?
Kwanini?HAPANA KUMFANANISHA GAUCHO NA USHUZI WOWOTE
Mleta mada ni mke halali wa wabrazil thread zake zote kawasifia kinoma
Jamaa huyu naona hata kina Messi hawaoni ndani kabisa
Afu kumbuka kipindi hichi hakuna wachezaji wenye talent za kutosha ndiyo maana unaona watu kama Messi na Ronaldo wanaishia kubadilishana tuzo kila mwaka. Kipindi cha kina Dinho hata beki unaweza kushangaa kabeba tuzo ya mchezaji bora. Sio saa hvi unakuta Messi anajua kabisa hasiposhinda yeye basi lazima Ronaldo achukueNeymar games 26 PSG goals 26
Gaucho games 98 goals 25
Who is the best?
Au mnapenda anavyokenua?
Ili ueleweke zaidi ni kwamba hata Okwi ni mkali kuliko Gaucho...Kama tunaangalia idadi ya magoli tu basi hata Giroud ni bora kuliko Gaucho.
Mkuu umefika mbali kutokana na lugha isiyo njema. Vinginevyo wabrazil wanasifika kutokana na "ball dance" wanayoonyesha ndani ya dimba, ambayo inatufanya tuburudikeMleta mada ni mke halali wa wabrazil thread zake zote kawasifia kinoma
Unaweza sema pia who is the best!!!
Kwa mara ya kwanza namsikia mzee wangu akitukana hadharan ilikuwa hapaHIYO YA KUKATA KIUNO, ILINIFANYA NIPALIWE NA MAJI KWA KICHEKO. DINHO KAKATA KIUNO NA BEKI KAKATA KIUNO, GK NAYE KAJISAHAU KUSHANGAA KIUNO, DINHO AKAFUNGA.
HàhaKwa mara ya kwanza namsikia mzee wangu akitukana hadharan ilikuwa hapa
Acha kufananisha Gaucho na ujinga huoNeymar games 26 PSG goals 26
Gaucho games 98 goals 25
Who is the best?
Au mnapenda anavyokenua?
Nimekusoma vibaya ama ndiyo ukweli wenyewe? Dinho kachukua UCL 2? Siyo moja kweli (2006) maana ile ya mwaka 2009 alikuwa ameshaenda AC Milani.Pale barca Dinho haina kachukua UCL mara 2, Brazil kachukua world cup
Sasa huyo mnyoa viduku wako mimi sijui kachukua nini?
Ni mojaNimekusoma vibaya ama ndiyo ukweli wenyewe? Dinho kachukua UCL 2? Siyo moja kweli (2006) maana ile ya mwaka 2009 alikuwa ameshaenda AC Milani.
Akili za chooni hizi.Neymar games 26 PSG goals 26
Gaucho games 98 goals 25
Who is the best?
Au mnapenda anavyokenua?
Barca isingeweza kumwachia mchezaji muhimu hata siku moja, ni Wa kawaida ndo maana wakamwacha aende PSG.Ndo maana nikakwambia mpira hujui, kawalinganishe kina Federer na Rafael Nadal au Andy Murray. Gaucho kafanya makubwa mno kwenye ulimwengu wa soka, hizo takwimu zenu si kigezo. Ungekuwa unauelewa mpira vilivyo, ungeshaelewa ninachomaanisha.
Gaucho angekuwa anacheza mpira wa kibinafsi na wa kutaka kujulikana kama wa yule mtoto, yangekuwa mengine. Ndo hivyo alikuwa kama Garrincha, fundi wa mpira asiyetaka majigambo