Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Upo robo fainali unataka kibonde? Kuna hatua hazina kibonde, yoyote anayekuja ni bingwa mtarajiwa. Ooh Al Ahly walaini, oooh Mamelod ndio mabingwa...YangAfrica nani?
 
Tuna test mitambo

9600A42D-84A0-486E-91D7-33C04C0E98FA.jpeg
 
Simba akishinda Semi Final anaanzia ugenini. Same to Uto
Na Fainali ataanzia Ugenini.

Kama uto ataingia Final ataanzia nyumbani...
Ni kweli, Simba ikivuka hapa, Mechi zote zinazofuata ataanzia ugenini. Angekuwa na timu nzuri msimu huu angetoboa hadi Fainali.

Yanga ina mlima mrefu Robo fainali. Nusu fainali kuna mteremko, kisha akifika fainali atamalinzia gemu ugenini hapa pagumu.
 
Back
Top Bottom