Eddy da Rose Jr
JF-Expert Member
- Jun 1, 2023
- 244
- 248
Kikombe cha mateso ya masandawana kiko pale pale,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu alikua mbishi sanaAcha majinga hv Yanga ni ya kuaga michuano hii. Umelewa ww
Elewa maana ya hizi alama " "Ww ongelea timu yako sio timu zetu
Sasa unamtisha nani?
Tukuulize ww amber rose fcMaraa paap tumewapiga 5G, mtajificha wapi akina Zuwena
Sanaa,mtampiga Mamelodi goli 6Kwa Yanga hii mechi ndogo
Maneno yanawaponzaga haya hahahahaaa
Ni kweli, Simba ikivuka hapa, Mechi zote zinazofuata ataanzia ugenini. Angekuwa na timu nzuri msimu huu angetoboa hadi Fainali.Simba akishinda Semi Final anaanzia ugenini. Same to Uto
Na Fainali ataanzia Ugenini.
Kama uto ataingia Final ataanzia nyumbani...
Anakufa al ahly chuma 3 hapo mkapa estadioHamna timu yoyote ya Tanzania itakayo enda nusu.
Ndio ipo hiyo😂🤣😁😁😁Hivi bado sheria ni ile ile ya kuangalia head to head goals? Nani alikuchabanga nyingi?.
Unawaza nini kwan mpira haudundi kwenye matope mtani mwendo umeumaliza🤣🤣🤣Tumepata Mamelodi hii kwetu ni bahati kubwa sanaaa!
Dunia inaenda kupatwa na mshangao jinsi Mamelodi watakavyofungasha vilago vyao robo fainal.😂
Daima Mbeleeee💛💚
Tena nje na ndanSanaa,mtampiga Mamelodi goli 6