Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Upo robo fainali unataka kibonde? Kuna hatua hazina kibonde, yoyote anayekuja ni bingwa mtarajiwa. Ooh Al Ahly walaini, oooh Mamelod ndio mabingwa...YangAfrica nani?
 
Simba akishinda Semi Final anaanzia ugenini. Same to Uto
Na Fainali ataanzia Ugenini.

Kama uto ataingia Final ataanzia nyumbani...
Ni kweli, Simba ikivuka hapa, Mechi zote zinazofuata ataanzia ugenini. Angekuwa na timu nzuri msimu huu angetoboa hadi Fainali.

Yanga ina mlima mrefu Robo fainali. Nusu fainali kuna mteremko, kisha akifika fainali atamalinzia gemu ugenini hapa pagumu.
 
Tumepata Mamelodi hii kwetu ni bahati kubwa sanaaa!

Dunia inaenda kupatwa na mshangao jinsi Mamelodi wanavyoenda kufungasha vilago vyao robo fainal.πŸ˜‚

Daima MbeleeeeπŸ’›πŸ’š
Aamin aamin!
Kila la kheri Yangaaa πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›


Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…