passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Mkuu,Mtoa mada naomba utoe jibu je Azam tv wataonesha
Tazama Azam HD3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Mtoa mada naomba utoe jibu je Azam tv wataonesha
Ndiyo matokeo mkuu.Huu ni mtazamo wako au ndo matokeo ya draw??
Kumbe Familia 😅aha! kumbe Uto?
anyway I stand for Tanzania
UGENI BANATumbo joto Wallah! Mungu ibariki Yanga.
HaswaaPia hii ni favor kwa aliyeongoza kundi. Anakuja kwako analazimisha sare au unamfunga ushindi mwembamba ukienda kwake (second leg) anakupiga. Karata zichangwe nyumbani
Acha woga kijana wanguMungu wa mbinguni liokoe Chama langu💚💛dhidi ya kikombe Cha masandawana
TVE wanaonyesha na Wako LiveAzam hawaonyeshi?
Kweli kabisa hawana Creative Bora mzungu alikuwa na creativeNaona Uto na wenyewe wako Live.
Ila kwenye uwanja wa mazoezi.
Sisi Simba kina Ahmed Ally wako Masaki Ofisini.
#sometimes wanatukera sana#
No creative mind ❌
Hata hapo ni live mdau.Basi, Azam naona wanaonyesha live.
Bado dakika 09.Basi, Azam naona wanaonyesha live.
Da kinyonge sana mkuu acha woga Si mmesajili?YANGA VS MAMELODI
SIMBA VS PETRO DE LUANDA
Hakika tuna timu boraDa kinyonge sana mkuu acha woga Si mmesajili?